Maneno ya kwenye kanga mkumbushe yy ni mwana mumemsemaji wa simba ameandika maneno haya katika ukurasa wake wa Instagram "unakumbuka maneno ya huyu dogo alivyotudhalilisha mwambie this is simba na benchi ndio makazi yake ya kudumu"
chanzo muungwana blogu.
Huyo Jenny Muro na Manara nani ana maneno machafu zaidi ya mwenzake.!?haji manara sahizi sijui kakutwa na nini.
mara ya kwanza tulisema ni Jerry Muro ana maneno machafu sana. ila huyu jamaa kila kukicha atao maneno machafu.
mkutano wa jana muda mwingi aliutumia kuiyongelea Yanga badala ya Simba.
Nafikiri na Tff huyu jamaa nae wamwangalie
Hiyo account siyo ya manara halisi bali mhuni mmoja tu kafungua anajiita manaraHuyo Manara ana matatizo ya akili.
Kuhusu Tambwe anasemaje?
Je Yondani?
Au bado hawajalipwa zile million 50?
ila waksepa wanaonja kwanza ndoo a.k.a ubingwa alaf wanapotea as u saidSimba ni kama arsenal,wachezaji wanaoachana na hizi timu huwa wanapata laana na kuanza kupotea, mfano singano,kessi, okwi, nyosso, kaseja, na wengineo. Kwa upande wa arsenal kuna nasri, adebayor, Alex song na wengine mtaongezea.
Mbona yondan husemi ?Simba ni kama arsenal,wachezaji wanaoachana na hizi timu huwa wanapata laana na kuanza kupotea, mfano singano,kessi, okwi, nyosso, kaseja, na wengineo. Kwa upande wa arsenal kuna nasri, adebayor, Alex song na wengine mtaongezea.
Kama wewe mfatiliaji mzuri wa mpira angalia moto anao uwasha nasri hispaniaSimba ni kama arsenal,wachezaji wanaoachana na hizi timu huwa wanapata laana na kuanza kupotea, mfano singano,kessi, okwi, nyosso, kaseja, na wengineo. Kwa upande wa arsenal kuna nasri, adebayor, Alex song na wengine mtaongezea.
Juzi alivyofanywa na simba hujaona?Mbona yondan husemi ?
Je tunayajua maneno machafu?????haji manara sahizi sijui kakutwa na nini.
mara ya kwanza tulisema ni Jerry Muro ana maneno machafu sana. ila huyu jamaa kila kukicha atao maneno machafu.
mkutano wa jana muda mwingi aliutumia kuiyongelea Yanga badala ya Simba.
Nafikiri na Tff huyu jamaa nae wamwangalie