Atukuzwaye
JF-Expert Member
- Oct 5, 2026
- 248
- 393
Alisisitiza kuwa kutofautiana kimawazo au mtazamo hakuwezi kufananishwa na usaliti, na kwamba hajawahi kusaliti chama chake kwa namna yoyote ile.
Godbless Lema pia, ameeleza kuwa alimtembelea marehemu Alute siku mbili kabla hajafariki wakati akiwa hospitali, akibaini kuwa kulikuwa na ujumbe au jambo ambalo alitamani atoke nalo ili liwekwe wazi kwa umma.
Aliongeza kuwa viongozi wakuu wa chama kama Katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti wanalifahamu jambo hilo, na tayari amewaandikia na kuwasihi wasilikisie au kulipuuza ili ukweli utakaposemwa utaleta tija kubwa.