KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 2,081
- 2,179
- Thread starter
- #61
Alikuwa BEN baadae akaondolewa akapewa somebody MOHAMED aliekuwa akiratibu 4u movement.unamfahamu aliyekuwa mkurugenzi wa sera na utafiti wa CHADEMA?
Alikuwa BEN baadae akaondolewa akapewa somebody MOHAMED aliekuwa akiratibu 4u movement.unamfahamu aliyekuwa mkurugenzi wa sera na utafiti wa CHADEMA?
Dini gani mkuu? Wamejiunga na dini ya utekaji. Hutawasikia hapa. Nimeacha kabisa kuwaheshimu viongozi wa dini.VIONGOZI WA DINI MKO WAPI, MMEKAA KIMYA, KONDOO WA MUNGU WANAPOTEA, KANISANI WATAKUJA AKINA NANI? MISIKITINI WATAKWENDA AKINA NANI, MLAANIWE! MUNGU ANAWAONA
Wakemee tu inatosha !!Mkulu aligoma kuwakaribisha ikulu viongozi wa dini sasa hapo unategemea nn?
Mimi siendi kanisani kuhubiriwa na wanafiki hawa! Nitasali chumbani kwangu. Wakae na bashite wao wapumbavu na malofaDini gani mkuu? Wamejiunga na dini ya utekaji. Hutawasikia hapa. Nimeacha kabisa kuwaheshimu viongozi wa dini.
Kwa akili yako unafikiri kamaanisha ukipendacho, hovyo kabisa!!View attachment 492401 Tunahitaji watu huru kama Bashe ili Tz yetu iendeIee na sio wafia vyama.
VIONGOZI WA DINI MKO WAPI, MMEKAA KIMYA, KONDOO WA MUNGU WANAPOTEA, KANISANI WATAKUJA AKINA NANI? MISIKITINI WATAKWENDA AKINA NANI, MLAANIWE! MUNGU ANAWAONA
Bashe ana akili tofauti na misukule(wabunge wa ccm.
Bashe ni kijana anayejitambua na hajali tumbo, njaa kwa msomali ni kitu cha kawaida.
Hawa jamaa nimeishi nao sana Arusha NA Tanga, wana umoja msimamo NA hawaogopi kusema ukweli.
I believe hata mafunzo ya baba take ni mazuri kwani ni mtu wa dini NA ni MPenda haki.
Ningefurahi NA nchi yangu ingefaidika kama wabunge wengi wangekuwa kama Bashe, yeye hatukani wala hafanyi vurugu yeye ni mtu kwenye ajenda.
Kama ni Chadema ndiyo wapotezwe ??!! Akili gani hiiUmezungumzia au kwa vile Ben ni chadema sasa nakueleza hata ROMA ni chadema.
Watu wote wako huru kwa mujibu wa katiba ya JMT. Tofauti kati ya wengi na Bashe kiwangu cha utabuzi wa hiyo HAKI ya kuwa huru. Better still, inawezeka mtu akajua yuko huru na akajua kuwa hiyo ni haki ya msingi ya kila "bin Adam" lakini kwa sababu utisho ulio kwenye mfumo wa utawala, akaamua kuwa mwoga.
Katika nchi hii wako wachache sana wa aina ya Bashe, Lema, Lisu, Mdee na kadhalika; lakini aina ya hao ndo wanahitajika zaidi iki kuleta mabadiliko ya kweli!
Mungu ibariki JMT!
Fafanua ili tuone uelewa wako na useme kamanisha nini?.Wewe ndio utaonekana hovyo bila kueleza kamansha nini nikipendacho.Kwa akili yako unafikiri kamaanisha ukipendacho, hovyo kabisa!!
Mwamini na muabudu Mungu mkuu lakini Hawa watu sio wa kuwaamini kabisa.Mimi siendi kanisani kuhubiriwa na wanafiki hawa! Nitasali chumbani kwangu. Wakae na bashite wao wapumbavu na malofa
Nani kasema CDM ndio wapotezwe?.Kama ni Chadema ndiyo wapotezwe ??!! Akili gani hii
Nikivuli kwa ukaribu waliokuwa nao au walionao.Lakini sikivuli kwa mitazamo yao au matendo yao(KWA SASA) .Hussein Bashe ni Kivuli cha Rostam Abdulrasuul Aziz
Nikivuli kwa ukaribu waliokuwa nao au walionao.Lakini sikivuli kwa mitazamo yao au matendo yao(KWA SASA) .
Mkuu kunaushahidi wayote juu unayoyasema?.Nafahamu kama ni za aina yake lakini sikubaliani na wewe juu ya Bashe wasasa,kwangu ndio mbunge bora kabisa miongoni mwa wabunge tulionao sasa.Labda kwa hapo baadae ntabadili msimamo wangu kama akionyesha mabadiliko hasi.Baada ya Lowassa kukatwa Dodoma aliemkodishia Ndege haraka haraka usiku Ngoyai ili asiweke Msimamo kwa Wajumbe wa NEC wa Kambi yake ni Bashe na alifanya vile kwa Maelekezo ya Rostam jee unajua ni kwa nini?
Siasa za Tanzania ni za aina yake Ndugu yangu usiishie ku conclude kwa kusoma Tweets zao tu!