Gwajima yupo busy na vyeti kamandaVIONGOZI WA DINI MKO WAPI, MMEKAA KIMYA, KONDOO WA MUNGU WANAPOTEA, KANISANI WATAKUJA AKINA NANI? MISIKITINI WATAKWENDA AKINA NANI, MLAANIWE! MUNGU ANAWAONA
Pengo hawezi kukemea hii hata avutwe na bulldozer.VIONGOZI WA DINI MKO WAPI, MMEKAA KIMYA, KONDOO WA MUNGU WANAPOTEA, KANISANI WATAKUJA AKINA NANI? MISIKITINI WATAKWENDA AKINA NANI, MLAANIWE! MUNGU ANAWAONA
NA ALAANIWE NA SHETANI LUCIFER!Pengo hawezi kukemea hii hata avutwe na bulldozer.
AMEKEMEA YANAYOENDELEA KWA SASAGwajima yupo busy na vyeti kamanda
VIONGOZI WA DINI MKO WAPI, MMEKAA KIMYA, KONDOO WA MUNGU WANAPOTEA, KANISANI WATAKUJA AKINA NANI? MISIKITINI WATAKWENDA AKINA NANI, MLAANIWE! MUNGU ANAWAONA
Ukikataa kutoa eti hutapata thawabu! Wakitekwa waumini, watekaji hawakemewi, wanakemewa wanaoacha kutoa sadakaKazi yao ni kukusanya sadaka tu,usalama ni juu yako na Mungu wako.
Watu wote wako huru kwa mujibu wa katiba ya JMT. Tofauti kati ya wengi na Bashe kiwangu cha utabuzi wa hiyo HAKI ya kuwa huru. Better still, inawezeka mtu akajua yuko huru na akajua kuwa hiyo ni haki ya msingi ya kila "bin Adam" lakini kwa sababu utisho ulio kwenye mfumo wa utawala, akaamua kuwa mwoga.View attachment 492401 Tunahitaji watu huru kama Bashe ili Tz yetu iendeIee na sio wafia vyama.
Walitaka kusema Dodoma,wakawekwa ndani!Kwa nini maneno kama haya hawayasemi kwenye right platforms?!?!? Party caucuses NA na kwenye CC or NEC?
kwa nini useme bwana wake kwa maneno ya bashe amekosea nini wewe msukule huna akili nyoka weweInaeleweka ukawa wanamkubali bashe chochote asemacho kwakuwa tu bashe ni team mamvi....hilo ni dhahiri!
Hata hivyo muda sio mrefu naye atavurumushwa kumfata bwanake alipo sasa.
Kwa hiyo wewe huoni hoja unaona siasa za upinzani tu!! Wa aina yako hawawezi kutufikisha kwenye tanzania ya viwanda. Badilika!Inaeleweka ukawa wanamkubali bashe chochote asemacho kwakuwa tu bashe ni team mamvi....hilo ni dhahiri!
Hata hivyo muda sio mrefu naye atavurumushwa kumfata bwanake alipo sasa.
Walianza kwa wanasiasa,VIONGOZI WA DINI MKO WAPI, MMEKAA KIMYA, KONDOO WA MUNGU WANAPOTEA, KANISANI WATAKUJA AKINA NANI? MISIKITINI WATAKWENDA AKINA NANI, MLAANIWE! MUNGU ANAWAONA
Kwa sababu msemaji anaweza kupotezwa!Kwa nini maneno kama haya hawayasemi kwenye right platforms?!?!? Party caucuses NA na kwenye CC or NEC?
Siku utakapo kutwa utasema hayo na utayatafuta maneno ya kuishi wa.Maneno ya kuishiwa hayo
james delicious type [emoji41]Inaeleweka ukawa wanamkubali bashe chochote asemacho kwakuwa tu bashe ni team mamvi....hilo ni dhahiri!
Hata hivyo muda sio mrefu naye atavurumushwa kumfata bwanake alipo sasa.