Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,244
- 55,830
Kutongoza binti wa kiafrika ni sawa na kujibebesha gunia la misumari kichwani;majukumu yote ya wazazi wake au yale ya kwake utaamishiwa wewe, haijalishi kama ana kazi au hana kazi.Nashauri vijana wenzangu kama unaweza kwenda kuoa ng'ambo nendeni,huku kwetu kuwa mwanaume ni mateso.
