Maneno mengine ni zaidi ya KUNTU aisee.

dem boy

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
5,849
14,511
IMG_20180326_170210_469.jpg
by the way hii ndo imenifanya nicheke kwa mara ya kwanza siku ya leo..
 
Kumlinganisha na mtoto wa Dangote apo sasa mnamuonea... Ferrari vs Toyota passo
Lkn kwa jina lake hapa bongo angeweza kuwa hata Limousine....tatizo jina juu,hadhi ndo iko low kiwango cha 0.01
 
View attachment 725996by the way hii ndo imenifanya nicheke kwa mara ya kwanza siku ya leo..


Si unaona hata na wewe umefurahi? Watu kama hawa LAZIMA wawepo ili jamii ipate kucheka si kila kitu mtu uwe serious. Labda cha kusikitisha ni kule kutojitambua kwake huku akibaki kuchezewa kila kukicha na miaka inamkimbia yeye akihisi kuwa bado ni mtoto asiye na akili.
 
Na hasa akisemwa adui yako..
Sinaga ushabiki wa kuchukia wala kupenda hawa mademu...lkn kwakuwa wao ma celeb sa ukifugua tu mamitandao unakuta komedi zao sasa nifanyeje mzee kama si kucheka tu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom