zombi
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,620
- 1,344
- Thread starter
- #41
Mhhh hao siku hizi ndio hawafai Kabisa.utasikia umri wako kamtishie mkeo. Yaani ukiwasikilizia jela nje Nje, waulize walimu wa secondary schools,wanaisoma ile mbaaya. Mimi hata lifti siwapi Hawa, utasikia "kwani Mr.mkeo huwa hauambatani nae ukiwa unaenda kazini Kama hivi, nasikia wake zenu wanawaboa, hivi ni kweli".Sasa mkuu mm bado under 20 hayo mambo nitayajulia wapi

