"POLE" linaingia hapo kwenye "SAMAHANI" Mkuu.Actually ni matano na sio manne. Nayo ni:
- NAKUPENDA
- ASANTE
- SAMAHANI
- POLE
ha ha i love yu ni rahisi kuliko nakupendaHalafu ziko nyingi mpaka zinapoteza uzito wa hilo neno.
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Duuh! Nimekumbuka mbali sana duuh.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Duuh! Nimekumbuka mbali sana duuh.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Tupe story ilikuwaje[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuh! Nimekumbuka mbali sana duuh.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji85] [emoji85]Tupe story ilikuwaje[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaaa. Unakujua bana BAK yaani hadi moyo wangu ulijikuta unadunda. lol.
Haya bana. [emoji120] [emoji120]
Du mpaka uolewe? wa kuoa ndio wanatapeliwa na maneno haya, utasikia " aah Yule ndio waifu matirio". Kama enzi zetu wakati TV station ziko 3, watoto wanaangalia egoli, basi ulimbo ilikuwa " ooh my love my angel, nikusubiri kidogo hapa saloon" unaonekana una macare, kumbe unamendea punany tu.Nashukuru kwa somo mkuu nikiolewa nitatumia haya maneno
Sasa mkuu mm bado under 20 hayo mambo nitayajulia wapiDu mpaka uolewe? wa kuoa ndio wanatapeliwa na maneno haya, utasikia " aah Yule ndio waifu matirio". Kama enzi zetu wakati TV station ziko 3, watoto wanaangalia egoli, basi ulimbo ilikuwa " ooh my love my angel, nikusubiri kidogo hapa saloon" unaonekana una macare, kumbe unamendea punany tu.