zombi
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,620
- 1,344
Wanajamii, Leo nimeona tukumbushane Maneno 3 muhimu Ktk mahusiano,
"nakupenda, samahani na asante".
Matumizi ya maneno haya yamepungua Sana ktk mahusiano yetu na Kwa wengine hayapo Kabisa.
Na Hii ndio sababu ya break-ups nyingi.
Tafakari na uvae uhusika ktk hil, utaona direction ktk mahusiano yako hasa Kwa wale walio Ktk Ndoa.