bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,668
Heshima kwenu
Hata tusipoenda kula tunda hayo machache tu naridhika, Ama Kwa hakika naweza nisiwe peke yangu mwenye kupenda vilivyotajwa hapo juu
Naamini tuko wengi muno si Wazee wala Vijana, wakitendewa ama kufanyiwa hayo majambo (achana na pesa kwanza) wanajisikia burdan kabisa.
Ongezea nawewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkono tu?Mimi napataga faraja sana nikiwekea mkono kwenye papuchi yaani moyo unazuuzika kinoma
Sent using Jamii Forums mobile app
I'm afraid you are conflating assumptions with incontrovertible facts, anyways I might have thought as much since women are dab hands at living in self denial. I will heed your advice, though not on this issue as I'm extremely certain of my position.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawasawa kabisa mkuu, kitabu cha tatu wanachokutana Mark Girland na Malik ni The whiff of money. Nadhani ndio pale Malik anapomwambia Mark kwamba "the next time we meet I will buy you a drink"Ni hatari sana yule jembe ndio maana nikachukua jina lile. Mi namkubali sana kwenye The whiff of money.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kwa nn usiseme we unapenda nnHii ndio classic beta male behaviour!
Beta males are women essentially!
Alpha males kwa mikato hiyo ya love making hawapo...
That kind of love wanapewa wanawake sio wanaume...This confusion unayotema hapa is really beyond me!
Uzee unaanzia miaka mingapi?
Kabsa icho anachomwambia ivyo n have this one on me. Na icho cha Senegal n this is for real.Sawasawa kabisa mkuu, kitabu cha tatu wanachokutana Mark Girland na Malik ni The whiff of money. Nadhani ndio pale Malik anapomwambia Mark kwamba "the next time we meet I will buy you a drink"
Ni siku nyingi kiasi toka nilipovisoma na kimoja wapo katika hivyo vitatu setting yake ilikua Africa Magharibi katika nchi ya Senegal ambapo jamaa hawa mmoja CIA na mwingine KGB walipokua wanatoana jasho
Yeah, I do know them like the palm of my hand.You know women too well eh?