Father of the national alionya pia ya kwamba yeye sio Malaika ni Bin Adam hivyo tuige yale mazuri yake na mabaya tuyaache kwa masikitiko na mshangao anaona ma~ccm wakiiga mabaya na kuyatupilia mbali yale mazuri na ya kheri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.