badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,118
na BTW ndo nini?
by the way
na BTW ndo nini?
Btw = by the wayBetween
Hiyo ya tatu labda ugusishwe ndo utaelewa.
4. Ma------Heshima mbele.
Nimejiunga JF mwaka 2012 ila mwaka jana sijapata nafasi ya kupitia JF kutokana na ubize wa masomo ya sekondari yaliyopelekea kumaliza vizuri, makofi tafadhali.
Baada ya kurejea mwaka huu JF nimekutana na maneno magumu, hivyo ikanibidi ni-google ingawa sikuambulia kitu. Maneno yenyewe ni;
1.Bazazi
2.LB7
3.Papuchi
Kwa faida ya wageni pia, nitafurahi kusaidiwa.
kwa niaba yake nasema AHSANTA
Bazazi -Penda penda
LB7 - Lumumba Buku 7
Papuchi- Uke
Bazazi -Penda penda
LB7 - Lumumba Buku 7
Papuchi- Uke
Hiyo ya tatu labda ugusishwe ndo utaelewa.
praktikali
unamshika mkono unampeleka akaone
0713 ndo nin??
Hata mimi nimeelimika kusema cha ukweli
ungemwekea picha iki aelewe vyema zaidi