kijana una umri gani kwanza kabla hujapewa majibuHeshima mbele.
Nimejiunga JF mwaka 2012 ila mwaka jana sijapata nafasi ya kupitia JF kutokana na ubize wa masomo ya sekondari yaliyopelekea kumaliza vizuri, makofi tafadhali.
Baada ya kurejea mwaka huu JF nimekutana na maneno magumu, hivyo ikanibidi ni-google ingawa sikuambulia kitu. Maneno yenyewe ni;
1.Bazazi
2.LB7
3.Papuchi
Kwa faida ya wageni pia, nitafurahi kusaidiwa.
na uume unaitwaje???Bazazi -Penda penda
LB7 - Lumumba Buku 7
Papuchi- Uke
na uume unaitwaje???
Mgegedeo/dushelele/fito/ukuni
na uume unaitwaje???
thread closed