Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
hahahahahahaha agusishwe tena
praktikali
hahahahahahaha agusishwe tena
praktikali
hahahahahaha sasa kifaa hana atagusisha wapi
Hiyo ya tatu labda ugusishwe ndo utaelewa.
Huyo ni konokono anaeishi katikati ya miguu ya mwananke, pale inapokutanikia!Heshima mbele.
Nimejiunga JF mwaka 2012 ila mwaka jana sijapata nafasi ya kupitia JF kutokana na ubize wa masomo ya sekondari yaliyopelekea kumaliza vizuri, makofi tafadhali.
Baada ya kurejea mwaka huu JF nimekutana na maneno magumu, hivyo ikanibidi ni-google ingawa sikuambulia kitu. Maneno yenyewe ni;
1.Bazazi
2.LB7
3.Papuchi
Kwa faida ya wageni pia, nitafurahi kusaidiwa.
unamshika mkono unampeleka akaone
tatizo vifaa vyenyewe adimu sana havitolewi kwa under 20 nani atakubali kumuonyesha
Mwalimu hajaruhusu sijui hadi amalize kipindi?
Bazazi -Penda penda
LB7 - Lumumba Buku 7
Papuchi- Uke
Jamani tuache tufikie umri. Umri huu siyo wa kugisishwa. Naomba niwe mlinzi shirikishi kwa ambao hawajawahi kugusa na kugusa CC Miss ChagaaHiyo ya tatu labda ugusishwe ndo utaelewa.
Jamani tuache tufikie umri. Umri huu siyo wa kugisishwa. Naomba niwe mlinzi shirikishi kwa ambao hawajawahi kugusa na kugusa CC Miss Chagaa
na BTW ndo nini?
Ohooo,kumbeeee
Heshima mbele.