Hahahahahahahahahah
Basi, kama ndiohivyo hata zamani watu walikua ramani yao kubwa nk daraja la manzese,kwa sasa kuna daraja kimara na hadi ufike manzese kuna madaraja mawili matatu.
Kama unafuata ramani ya zamani na ukafiaka kimara halafu akaamua ushuke na uingie upande wa kushoto ukizani ndio unaingia tandale uzuri!!!!!
Hahahahaahahahahahah....