Maneno gani mazuri ya X wako unayokumbuka?

Maneno gani mazuri ya X wako unayokumbuka?

kadogo umri ukikaona sasa siku ya kwanz kananiambia jaman to..ba hahaha hapo kidume nimeshusha mzigo duu nikichoka[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1982
---------

"Kesho ukija nitakuwa tayari nimeshajuwa jinsi ya kutoka..." - Hamida

James Jason
Simulizi yake ipo kwenye link hii


James Jason
 
Baadhi ya maneno mazuri kutoka kwa ex wangu Shukuru ambae hapo nyuma hakua mkubwa sana hata mwandiko unaonyesha, maneno yake nayakumbuka na niliyakuta kama yalivyo kwenye kisimu nilichokitumia kabla sijaondoka

1. 'Unajua hyo shukuru hatak kutoa moyo wake ila huwa anajkuta xometme anautoa ila anataman xna acngeutoa ila anajkuta axhautoa na hajawah kuutoaga ameanza kuutoautoa baada ya ww kuja kwenye maixha yke xo ipo cku atautoa kbxa bla kuacha hata nukta'

2. 'Ma beloved adrorable may God protect u with al harasment dat u wil going throgh there i juxt want 2 xay Bye! Bye! . I cant continue 2 wrte coz i may end up cryng. Bye be careful. Uar safety means a lot 2 me.'

3. 'Also may dic kic be with u til u come back............................mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!'

4. 'En i wil continue 2 luv u even if u get tired ov me'

Shukuru popote ulipo nakusalim sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom