Hapo kwenye RED umethibitisha jinsi JF ilivyojaa wakurupukaji wa kuamini kila kinacholetwa kama unavyoamini maneno ya mganga wa kienyeji.
Sasa, mwanzoni ulikerwa na nini wakati binafsi niliweka maneno haya kwenye thread zangu za jana.
Zilizotumwa na nani?
Meseji sikuwahi kupata, labda nisaidie, wewe ya kwako ilisema imetoka kwa nani, Jakaya Kikwete ama Shehe Ponda, ama Mchungaji Mtikila, ama John Chiligati ama Mama Rwakatare, ama Mzee wa Upako ama Shehe Basaleh ama nani huyo aliyesema kwamba yeye anaiongelea CCM kwamba Wakristo wasijiunge CUF na mgombea wa CHADEMA ni padre atakaeeneza Ukristo.
Maana usijekuwa umepokea text message ya MaxShimba, nguli wa Jukwaa la dini Jamiiforums, ukasema umetumiwa ujumbe na Kamati Kuu ya CCM!
Mwenye jina la pili(bold) namjua ila huyo wa jina la kwanza simjui.Unamjau Miraji Kikwete? Unajua nini kuhusu Push Mobile.....
unakumbuka ilani ya ccm ya mwaka 2005? Juu ya ahadi ya mahakama ya kadhi?CCM walianzisha vipi udini?
Radio Maria baada ya kuona Mh. Lema anaongea pumba walimtoa hewani. Na kwa kuonyesha kwamba hawabahatishi, walimtoa hewani mara mbili.
Mh. Lema akili yake haipo sawa, kuna uwezekano mkubwa alipokuwa mtoto alisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.
Mie Mkristo lakini kwa hili LEMA atakuwa anajua ukweli.
1. Kwanini hakuwa Dodoma kwakuwa alijua tukio litatokea ili awe mtu wa kwanza kuwepo aonekane responsible.
2. Ili akatoe matamko kuwa CCM na serikali yake inahusika ili aendeleze gape kati ya CCM na waumini wa kikristo.
3. Uchonganishi ambao una hila ndani yake bila kujali mkutadha!
NARUDIA TENA, NA TENA..
CHADEMA MNAHUSIKA KWA HILI. FULL STOP.
tatizo dini ya lema nichama chake ambayo ni kKuna tatizo lolote kwenye haya maneno au unataka kusemaje?
Ninavyosoma post yako hii napata piicha kwamba kipo unachotaka kusema zaidi, plz funguka tu!