Maneno aliyosema Lema Olasiti Arusha

Maneno aliyosema Lema Olasiti Arusha

Status
Not open for further replies.

Martin Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
582
Reaction score
184
Mimi nichukue fursa hii kuwapa pole , lakini niwe jasiri sana kusema ukweli kama ninyi waandishi hamtafanya editing ..

Kwanza kabisa niweke wazi kuwa jambo hili limesababishwa na chokochoko za udini ambazo muasisi wake ni serikali ya CCM na viongozi wake, aliyepiga bomu hapa leo sio jambazi wa kutaka mali bali ni mtu aliyeelewa na kufundishwa tofauti kwa nia mbaya kuhusu dini nyingine, haya maneno ya udini yalianzishwa na viongozi wa chama tawala lengo likiwa ni kuwagawa na kuwatawala raia lakini kwa sasa wamelikoroga, wamewachonganisha watu wa dini mbali mbali haswa waislamu na wakristo ambao ndio wengi ktk taifa hili bila kujua madhara ya mkakati huu kuwa utaligawa taifa.

Sasa basi kazi hiyo haya ndio mavuno yake kwani tukio hili lina sura zote za kiimani, na nilitake jeshi la polisi kufanya kazi ya kukamata haraka kama ambavyo walinikamata mimi nyumbani kwangu kwa mabomu na vitisho, poleni sana .

Haya ndio maneno aliongea Lema

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nimejitahidi kuweka alivyosema lema

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Kuna tatizo lolote kwenye haya maneno au unataka kusemaje?
Ninavyosoma post yako hii napata piicha kwamba kipo unachotaka kusema zaidi, plz funguka tu!
 
Wametugawa ili watutawale, nitashangaa kama wakishangaa haya yanayotokea sasa, au labda hawakujua athari zake ni nini mbele ya safari? sitaki kuamini hivyo, kidogo kidogo mpaka Nchi haitatawalika...........MUNGU TUEPUSHE NA JANGA HILI.
 
Na asubuhi nitarusha video

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hongera sana mkuu, na tunaashukuru sana, tunasubiria video na yenyewe, kuna vilaza wa CCM wanataka kupotosha yaliyoongelewa
 
Sijui kama ninakosea ila ninafikiri siasa za bongo ni upuuzi mtupu na usipokuwa na uwezo wa kutafakari mwenyewe ni hayari sana kwa kuharibika fikra na mutazamo yako,,,,ninafikiri Lema yupo sawa! La msingi ni waakina nchemba,nape,lusinde wakanushe kwa kuongea ukweli sio kushindana!
 
Na huu ndo ukweli lakini serikali ya CCM haitataka kukubali ukweli, na kila siku tutaendelea kuona matamko ya rais kilaza akilaani matukio haya lakini anayefanya huu uharifu hakamatwi, kila siku rais anasikitika afu hakuna anayekamatwa. President is behind these scenes, no way usalama wa Taifa ukawa unafanya kazi nzuri sana kuwakamata chadema lakini waharifu hawakamatwi. Padre Nkenda, padre Mushi, Dr Ulimboka, Kibanda, Mwangosi, muuza magazeti morogoro hawa wote hakuna mharifu aliyekamatwa, uchomaji makanisa ndo usiseme. Afu president anataka kubalance mambo kwa kuweka kufa kwa watu sawa na mtoto aliyekojelea quran tena walikuwa wanataniana afu unalinganisha na matukio ya mauaji. Hivi Ilunga kajificha kama Osama nini mbona hatiwi nguvuni lakini Lema anakamatwa na mabull dozer. Kwa kweli tunaongozwa na kif.......... Ngoja nilale
 
chokochoko za udini ambazo muasisi wake ni serikali ya CCM

haya maneno ya udini yalianzishwa na viongozi wa chama tawala
CCM walianzisha vipi udini?
 
Radio Maria baada ya kuona Mh. Lema anaongea pumba walimtoa hewani. Na kwa kuonyesha kwamba hawabahatishi, walimtoa hewani mara mbili.

Mh. Lema akili yake haipo sawa, kuna uwezekano mkubwa alipokuwa mtoto alisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.
 
CCM walianzisha vipi udini?

Yaani Haujui? Ni kivipi Sheikh Ponda alipata fursa ya kuongea Hadharani dhidi ya Dini zingine? Bila ya Serikali kujua?

Inakuwaje Rais hajui UDINI ulianzaje wakati campaign zake za 2010 alikuwa anaongelea UDINI na UKABILA? Bila Tricks zake za DIVIDE and RULE unadhani anakuwa Rais wa NCHI hii this term?
 
Radio Maria baada ya kuona Mh. Lema anaongea pumba walimtoa hewani. Na kwa kuonyesha kwamba hawabahatishi, walimtoa hewani mara mbili.

Mh. Lema akili yake haipo sawa, kuna uwezekano mkubwa alipokuwa mtoto alisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.

Hawakumtoa HEWANI sababu ya PUMBA... Waliondoa ili wasiwe WAMEFUNGAMANA na SIASA za UPANDE wowote; Wanajua JINSI GANI DINI yao inavyoandamwa Tangu NYERERE alipofariki na wanavyowaita kuwa na MFUMO KRISTO; Ambao ndio Ulianzia toka kwa DINI yao... na ndio inayopata Msukosuko Sasa hivi... Kwahiyo Walichofanya ni KUJINEEMESHA na SIO sababu ya PUMBA

LEMA amesema UKWELI... kwanini aliposema tuwatolee DAMU watu wote walimuunga MKONO???

Nilidhani wewe umenyamazishwa na CCM ORIGINAL sababu ya TABIA yako ya KUPOKEA PESA toka LUMUMBA???
 
....yetu macho na masikio...Dhambi ya ubaguzi haishi....baadaye mtakuja kuona kumbe kuna sunni na shafii....kumbe kuna katoliki na lutherani...
 
CCM walianzisha vipi udini?
1. Katika kampeni za uchaguzi mkuu 2005 CUF ilikuwa na nguvu CCM katika majukwaa walijinadi kuwa wananchi wasiichague CUF sababu ni chama cha kidini na mwisho wa siku IGP O.Mahita alionyesha visu kuwa ni vya CUF kwa ajili ya kuleta vurugu siku ya uchaguzi2. katika kampeni za Uchaguzi mkuu 2010 CHADEMA ilikuwa na nguvu CCM katika majukwaa waliwaambia wananchi wasiichague CHADEMA ni chama cha kidini na mgombea ni Padri hivyo wataeneneza Ukristo.Kwa hoja hizo huoni kwamba CCM wamepandikiza haya tuyaonayo sasa? kulikuwa na ulazima gani kuzungumza maneno kama hayo kwenye kampeni.
 

Yaani Haujui? Ni kivipi Sheikh Ponda alipata fursa ya kuongea Hadharani dhidi ya Dini zingine? Bila ya Serikali kujua?

Inakuwaje Rais hajui UDINI ulianzaje wakati campaign zake za 2010 alikuwa anaongelea UDINI na UKABILA? Bila Tricks zake za DIVIDE and RULE unadhani anakuwa Rais wa NCHI hii this term?

Wewe unatazo la ubinafsi, je SHEKHE PONDA NDIYE MUASISI WA UDINI TANZANIA? KUWA MKWELI ILI TUINURU INCHI YETU. MUKIENDELEZA UBAGUZI KAMA HUU WA JAMII FORUM TUTAFIKA TUSIKOKUPENDA.
 
Nilikuwa mmoja kati ya watu waliokerwa na maelezo kuhusu Lema lakini kama kweli haya ndo aliyoongea sioni ubaya ulipo,badala yake nadhani amesimamia ukweli, ccm wanaiharibu nchi yetu
 
Ivi cuf ya mchumi ibuu ilishaacha udini?maana ccm haina udini bali viongozi wachache tu.cfu ilikuwa balaa bora ilivyo olewa na ccm
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom