Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,432 Reaction score 139,494 Nov 27, 2022 #1 Mandonga Mtu Kazi baada ya kumfumua ndoige Saidi Mbelwa ametangaza kumtaka Hassan Mwakinyo. Akihojiwa baada ya pambano amesema anaenda Qatar kupimzika, akirudi anamtaka Mwakinyo huku akimuita bondia wa mchongo.
Mandonga Mtu Kazi baada ya kumfumua ndoige Saidi Mbelwa ametangaza kumtaka Hassan Mwakinyo. Akihojiwa baada ya pambano amesema anaenda Qatar kupimzika, akirudi anamtaka Mwakinyo huku akimuita bondia wa mchongo.
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,295 Reaction score 31,699 Nov 27, 2022 #2 Yale yale na Mayele na Kibu
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 6,722 Reaction score 16,068 Nov 27, 2022 #3 OKW BOBAN SUNZU said: Mandonga Mtu Kazi baada ya kumfumua ndoige Saidi Mbelwa ametangaza kumtaka Hassan Mwakinyo. Akihojiwa baada ya pambano amesema anaenda Qatar kupimzika, akirudi anamtaka Mwakinyo huku akimuita bondia wa mchongo. Click to expand... Anaenda qatar kupumzika kwa nini usimshauri aende dubai
OKW BOBAN SUNZU said: Mandonga Mtu Kazi baada ya kumfumua ndoige Saidi Mbelwa ametangaza kumtaka Hassan Mwakinyo. Akihojiwa baada ya pambano amesema anaenda Qatar kupimzika, akirudi anamtaka Mwakinyo huku akimuita bondia wa mchongo. Click to expand... Anaenda qatar kupumzika kwa nini usimshauri aende dubai
MAWEED Platinum Member Joined Oct 11, 2016 Posts 4,626 Reaction score 16,379 Nov 27, 2022 #4 UMEJICHANYAAA UMEJICHANYAA HASSAN MWAKINYO,NAKUUA MDOGO WANGU
McFerson JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 2,170 Reaction score 2,335 Nov 27, 2022 #5 Mwakinyo ameyakanyaga[emoji41] Sent from my OPPO F1s using JamiiForums mobile app
moi wa kitaa JF-Expert Member Joined May 3, 2015 Posts 1,016 Reaction score 1,016 Nov 27, 2022 #6 Kwa mara ya kwanza leo nimesikia sauti y mbwata imetoka kwenye matako
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,432 Reaction score 139,494 Nov 27, 2022 Thread starter #7 Mwizukulu mgikuru said: Anaenda qatar kupumzika kwa nini usimshauri aende dubai Click to expand... Anaenda kuangalia soka
Mwizukulu mgikuru said: Anaenda qatar kupumzika kwa nini usimshauri aende dubai Click to expand... Anaenda kuangalia soka