...something was wrong with one arm.Japokuwa mimi sijui alama za viziwi, nina Dada yangu ambaye ni kiziwi na angalau tunawasiliana kwa alama (na tunaelewana). Nikilinganisha tafsiri za huyu jamaa na za viziwi niliowazoea, kweli niliona tufauti kubwa! Wakati flani jamaa alikuwa kama anapiga saluti, basi utata mtupu. Kama kuna mwalimu wa viziwi humu jamvini (ambaye alifuatilia hotuba za viongozi kule SA) atusaidie kidogo.
Namsanga Jantjie anadai kwamba alianza kuchanganyikiwa na kuona Malaika, lost concentration, and started hearing voices and hallucinating," Alidai. He is running Damage control.bonge la security lapse, angeweza kumu-alshabaab hata Obama kiulaini kweli!
Namsanga Jantjie anadai kwamba alianza kuchanganyikiwa na kuona Malaika, lost concentration, and started hearing voices and hallucinating," Alidai. He is running Damage control.
mmmhhhh kazi ipo..Thamsanqa Jantjie, 34, became an internet sensation after appearing next to world leaders including Barack Obama and Ban ki-Moon, the UN Secretary General, apparently doing little more than flapping his arms around.
View attachment 126198
===>Anaitwa Thami Jantjie
===>Ndio matunda ya uhuru kwa watu weusi,rushwa,uroho wa madaraka na kujilimbikizia mali,ubinafsi,ukabila na undugu ndio vinavyoisumbua Afrika Kusini kwa sasa.
===>ni sawa na upuuzi wa kiongozi mmoja anaesimamia elimu hapa nchini hana tofauti kabisa na huyu jamaa,hajitambui,hajui na ana uroho wa madaraka.
===>Mungu atuepushe na haya mazimwi yanayoua akili za watoto wetu 2015.
Ewe mwenyenzi MUNGU na usikie kuomba kwetu!