Mandela funeral na fake sign language interpreter!

m_kishuri

JF-Expert Member
Jan 27, 2010
1,485
372
I wonder how this guy was able to keep a straight face and look like he knew what he was doing. Hata pemembeni ya the most powerful person in the World. Kweli dunia ina watu wa ajabu.

south_africa_mandela_interpreter-1.jpg
 
Gazeti la National Post la Canada linaripoti kwamba: The man also did sign interpretation at an event last year that was attended by South African President Jacob Zuma, Druchen said. At that appearance, a deaf person in the audience videotaped the event and gave it to the federation for the deaf, which analyzed the video, prepared a report about it and a submitted a formal complaint to the ANC, Druchen said. SOMEONE NEEDS TO BE SPANKED.:frusty:
 
Thami-Jantjie-2917632.jpg

===>Anaitwa Thami Jantjie
===>Ndio matunda ya uhuru kwa watu weusi,rushwa,uroho wa madaraka na kujilimbikizia mali,ubinafsi,ukabila na undugu ndio vinavyoisumbua Afrika Kusini kwa sasa.
===>ni sawa na upuuzi wa kiongozi mmoja anaesimamia elimu hapa nchini hana tofauti kabisa na huyu jamaa,hajitambui,hajui na ana uroho wa madaraka.
===>Mungu atuepushe na haya mazimwi yanayoua akili za watoto wetu 2015.
 
Japokuwa mimi sijui alama za viziwi, nina Dada yangu ambaye ni kiziwi na angalau tunawasiliana kwa alama (na tunaelewana). Nikilinganisha tafsiri za huyu jamaa na za viziwi niliowazoea, kweli niliona tufauti kubwa! Wakati flani jamaa alikuwa kama anapiga saluti, basi utata mtupu. Kama kuna mwalimu wa viziwi humu jamvini (ambaye alifuatilia hotuba za viongozi kule SA) atusaidie kidogo.

BBC News - Mandela memorial: Outcry over 'fake' sign interpreter
 
Niliwasifia kweli jinsi wanavyojali watu wenye ulemavu,kumbe alikuwa ni fake! na alipataje hiyo nafasi?!
 
bonge la security lapse, angeweza kumu-alshabaab hata Obama kiulaini kweli!
 
Binafsi sijui ila nlishtuka maana nlikuwa sijawahi kumwona mtu anatumia nguvu kiasi hicho huku anaangalia huku na kule huku; nikasema labda ndo lugha 9 za S.A at work; make huku huwa naona wa UBC akiwa anaelekeza simple huku akiwa ameface clients wake. 1.Swali ni kwamba; CIA hawakuona kwamba anaweza kumlamba Obama kofi..!
 
Japokuwa mimi sijui alama za viziwi, nina Dada yangu ambaye ni kiziwi na angalau tunawasiliana kwa alama (na tunaelewana). Nikilinganisha tafsiri za huyu jamaa na za viziwi niliowazoea, kweli niliona tufauti kubwa! Wakati flani jamaa alikuwa kama anapiga saluti, basi utata mtupu. Kama kuna mwalimu wa viziwi humu jamvini (ambaye alifuatilia hotuba za viongozi kule SA) atusaidie kidogo.
...something was wrong with one arm.

...hata mi sijui, but i noticed some missing or done the wrong way!
 
bonge la security lapse, angeweza kumu-alshabaab hata Obama kiulaini kweli!
Namsanga Jantjie anadai kwamba alianza kuchanganyikiwa na kuona Malaika, lost concentration, and started hearing voices and hallucinating," Alidai. He is running Damage control.
 
Thamsanqa-Jantjie2_2763302c.jpg
Thamsanqa Jantjie, 34, became an internet sensation after appearing next to world leaders including Barack Obama and Ban ki-Moon, the UN Secretary General, apparently doing little more than "flapping his arms around".
 
Hii ni kali japo haiwashi

Ameacha walimwengu na maswali mengi
 
Thamsanqa-Jantjie2_2763302c.jpg
Thamsanqa Jantjie, 34, became an internet sensation after appearing next to world leaders including Barack Obama and Ban ki-Moon, the UN Secretary General, apparently doing little more than “flapping his arms around”.
mmmhhhh kazi ipo..
 
View attachment 126198

===>Anaitwa Thami Jantjie
===>Ndio matunda ya uhuru kwa watu weusi,rushwa,uroho wa madaraka na kujilimbikizia mali,ubinafsi,ukabila na undugu ndio vinavyoisumbua Afrika Kusini kwa sasa.
===>ni sawa na upuuzi wa kiongozi mmoja anaesimamia elimu hapa nchini hana tofauti kabisa na huyu jamaa,hajitambui,hajui na ana uroho wa madaraka.
===>Mungu atuepushe na haya mazimwi yanayoua akili za watoto wetu 2015.

Ewe mwenyenzi MUNGU na usikie kuomba kwetu!
 
Aisee hata mimi nilipoangalia niliona tofauti kubwa sana ya ishara . Nilifikiri kuwa kuna tofauti ya ishara kwa S.A. Labda wana syllabus tofauti.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom