Mandela funeral na fake sign language interpreter!

Mandela funeral na fake sign language interpreter!

Mimi ningekuwa Zuma watu si chini ya kumi wangeachia ngazi, kuanzia mkuu wa itifaki, bosi wa usalama wa taifa, mawaziri husika, manager wa program angeshitakiwa si tu kuwajibishwa na hatua kali za kisheria zingechukuliwa
 
Back
Top Bottom