Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Tizama maazishi ya mandela hapa live kwa wale wasio na kingámuzi: Nelson Mandela has died. Live coverage from eNCA - YouTube
Nasikia JK atatoa hotuba sijui ni kweli au udaku wa magazeti ya bongo
Joyce Banda anaongea kwa huzuni xana mpk anataka kulia
Kaanza vizuri sana ,big up Jk[/QUOiTE]
Sure, he begun and continues well.
Ataongea Kiswahili
Ndio sasa anahutubia...
Tizama maazishi ya mandela hapa live kwa wale wasio na kingámuzi: Nelson Mandela has died. Live coverage from eNCA - YouTube