Shughuli zimeandaliwa vizuri. Isipokuwa ANC wameharibu kwa kuchukua sehemu kubwa ya uongozi wa maziko hayo. Kwa maoni yangu Mandela anavuka mipaka ya ANC.
Kikwete ataongea kama nani? manake naona kama amejipeleka tu....Waziri mkuu wa Ethiopia ni m/kiti wa AU ,Banda ni M/Kiti wa SADC....Sasa JK kama nani? au ndo kupenda kuzurura