Mandela Funeral: Live updates

Familia ya Mandela iliomba tukio la Jeneza kuingizwa kaburini lisioneshwe....Na kweli halijaoneshwa....
 
1siwezi kuamini, jeneza la mandela limeshashushwa kaburini hakuna mbwembwe mambo ni kijeshi duh

Sisi tunaoshuhudia katika televisheni hatutaweza kushuhudia mazishi, ndivyo ilivyopangwa.
 
Komba ni mtunzi mzuri sana wa nyimbo
big up kwako capt
 
Huyu Shaban kisu mtangazaji wa Tbc naona kiherehere cha kujifanya mkalimani kimemuisha baada ya sabc kuanza kukuruma isizulu na xosa.

Boy friend wa Lulu anatutumbuiza kwa sasa.......

Tuendelee kusubili.
 
BF wa Lulu watu mna mambo............
 
CNN ndo wamecover hadi mwisho,nao ndo wanamaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…