Siamini ninachokiona, Jeshi lina viongozi wa dini, naona kama jeshi na watu wa System wameteka nyara taratibu zote kukwepa mambo ya kimila ambayo yangeweza labda kucomplicate mambo! Huyu anaesali ni Mchungaji wa Kijeshi.... Jeneza liko kwenye kaburi tofauti na tulivyoambiwa kamera hazitaruhusiwa