mmesikia speech ya Kaunda kamsifia sana Nyerere na mchango wake kwa SA wabongo tu tunapenda kuponda kamshukuru pia Maria Nyerere kwa kwenda na Kikwete kwa speech yake.
Wewe!!!!!! Kuna Mganda mmoja kasema "Graca married Samora and he died, she married Mandela and he is dead, how i wish she marries Kaguta Museven so that he goes too"!!!!
Wewe!!!!!! Kuna Mganda mmoja kasema "Graca married Samora and he died, she married Mandela and he is dead, how i wish she marries Kaguta Museven so that he goes too"!!!!
Katika hotuba ya kaunda amemtaja nyerere zaidi ya mara kumi, amemmwagia sifa kemkem na watu wameshangilia sana. Kweli nyerere ndo amemtengeneza mandela