Mandela azushiwa kufa

Mandela azushiwa kufa

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,766
Reaction score
21,474
Serikali ya Afrika Kusini imekanusha uvumi uliokuwa umeenezwa kwenye mitandao ya kijamii ya facebook na twitter
 
525065_Madiba20isnt20dead_jpgcd6573bd32f950df37961f72f4789c4e.jpg

Mungu akupe afya njema tata Madiba
 
Just Rumors..Ila hata kwa Mwalimu it started the same way!
 
Mungu amlinde na kumzidishia afya njema baba wa afrika
 
"tragic failure of leadership" Mandela's comment towards mugabe's regime in 2008 in London
 
ila si vyema kuzusha kuwa mtu kafa wakati yu hai. Wamwache mpaka pale Mungu atakapo muita kwa wakati wake
 
Wengine wanawazushia watu kifo ili wauze magazeti, wapate attention and etc. Lakini in real sense its very inhuman!
 
Back
Top Bottom