Mandela alivyosema kuhusu palestina

Mandela alivyosema kuhusu palestina

Status
Not open for further replies.

kisapwi

Member
Joined
Jun 9, 2014
Posts
39
Reaction score
17
Wananchi wa palestina bado wanaishi katika maisha mabaya ya kikoloni, hata yale ya makabulu kule South yana nafuu. download hiyo picha uone Mandela alivyoongea. naomba wana JF tusiwashabikie hawa israeli, tuwape moyo wapalestina wawe huru
 
picha ipi sasa?
 
All said, lakini kwao wewe ni kafir tu hata ukijikomba. Mwenzao ni Muislamu, usijidanganye!
 
sikubaliani kabisa na mauaji ya kigaidi,, yanayofanywa na ISRAEL, ALSHABAB , BOKO HARAM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom