DuuhJUST IN
Lisandro Martínez has a sprained collateral ligament.
The worst scenario has been ruled out. It is between a month and a half and two months of recovery. He does not need surgery.
[@gastonedul]
Hahaha!karibu ndugu mchambuzi
Hii nakuelewa, tusubri naona hizo sajili tano ni kitu ambacho kinawezekana kabsa within budget kwa timu giant km united.Hahaha!
ST - Ivan Toney
RB - Jeremie Frimpong
CB - Jean-Clair Todibo
RW - Nico Williams
LW - Son Heung-min
Eneo la LW sina uhakika nani atafaa ila kwa tiba ya muda mfupi basi Son anafaa sana; uzoefu, uwezo wake wa kufunga na utengenezaji wa nafasi za kufunga ndiyo kitu tunahitaji. Pia, ni shabiki lialia wa United.
Ila kwa sajili hizi sioni zikikamilika, budget haiendani na mahitaji. Ni kazi ya scouts kutafuta watu watakao-fit mfumo wa kocha bila kuvunja kibubu. INEOS wasipoweka mzigo msimu ujao vilio vitakuwa palepale.
Hahaha!

Manchester City, Here We GoSavio wa girona
Manchester City, Here We Go
Savio kaenda Man CityApo kwa LW ni bora wakamchukue R.Leào au Savio wa girona
Uyo son anamalizia soka lake apo tot haondoki
Savio kaenda Man City
Leao ni kama Rashford tu kwa kila kitu kasoro ukubwa wa mwili
Umeeleza Poa sana Mdau!ST - Ivan Toney
RB - Jeremie Frimpong
CB - Jean-Clair Todibo
RW - Nico Williams
LW - Son Heung-min
Natamanigi sana kuona Pellistri anaaminika.Umeeleza Poa sana Mdau!
Sio kwa Nia Mbaya wala Ubaguzi lakini wachezaji Wengi Wenye asili ya "Kiafrika" wana "EGO" Mnoo, Tuna shuhuda Nyingi sana OT za aina ya Hao Wachezaji na Hii List umeweka Karibu 80% ya Hizo ni asili hiyo Hiyo, Kuna Talent nyingi lakini zimepotea kimasikhara sana, AM9, PP6, MR10, wakipata Mikataba Minono wanabadilika Jumla.
Tuna "Academy Proscpects" Wazuri sana na kina Mainoo wameonyesha ukiwa tayari Umri sio ishu, Ukitaka Lifahamu hili tizama timu ya U18 wana Mabalaa. {Lacey, Amass, Bragimov, et al.}
ST- Sesko / Rudisha "Mason Greenwood" Ana faida nyingi sijui suala lake INEOS watakavolitatua,
RB-Vanderson ana faida ya Kimo, Frimpong mzuri sana kama "Wingback" Sio Mzuri sana kuzuia
CB-Antonio Silva + Branthwite / Diomande {Ingawa Siamini sana Umri wake + Ni Black} Kuna Andersen wa Palace mzuri kuongeza Upana wa Kikosi.
RW-Matias Soule / Neto / Olisse
LW-Kvarartskhelia / Mitoma.
CM/CDM - Mats Wieffer /Zubimendi / Joao Neves.
Tukiweza Uza Poa, tukiweza tupa Poa vile vile, [Rashford, Varane, McTominay, Bissaka, Lindelof, Pellistri, Hannibal, Maguire, Heaton, Martial, na Wengine wanaofanana nao] Ericksen na Casemiro wanajua kuishi Kama "Professionals" wanaweza kuwa na mchango "Dressing Room" ila ikija Ofa nzuri toka Arabuni ama Marekani uza Nao na Shaw Pia haaminiki!
Hiko kikosi tuwape ubingwa kabisaa wa 24/25Umeeleza Poa sana Mdau!

Pellistri Mchezaj mzuri ila dalili za kuwa "World Class" ni ndogo na UTD kwa sasa kumuamini ni Changamoto maana timu bado Haieleweki.Natamanigi sana kuona Pellistri anaaminika.
Hapo sio kwamba Tunaweza Sajili wote katika Dirisha Moja, ila Sajili 5 ama zaidi zinawezekana, timu inatakiwa kuwa na Upana wa kikosi Nyie kinachowagharimu Gunners ni Ukosaji wa Nafasi, Mngekuwa na CF mwenye kueleweka {Sio ST} Mngekuwa mnaongoza Ligi mbali sana,Hiko kikosi tuwape ubingwa kabisaa wa 24/25
Natamanigi sana kuona Pellistri anaaminika.