Manchester United (Red Devils) | Special Thread

samlee
, Man City’s most reliable journalist, on Omar Berrarda leaving the club:

“This is a pretty big loss for Man City and a huge, huge shock of course. I think everybody assumed he’d replaced Txiki [Begiristain] one day.”
 
Muda si mrefu liverpool wanarudi kugombea top 10 na akina crystal palace.
Katika sajili zote walizofanya liverpool ndani ya muongo mmoja uliopita, Klopp ndiye usajili bora zaidi kwao.
Eras come to end alizokuwa anamaanisha 10Hag ndio hizi za kuondoka kwa akina Klopp/Pep ila sio kuwafunika uwanjani.
 
Kipara ndio kashindwa kufundisha hata huu mpira wanaocheza BRISTOL CITY?

Nottingham forest wanaringia ukubwa tu hapa lakini wapo hoi.

Madogo wana declan rice wao.
Kocha wao ana miaka 38 anaitwa liam manning.

wikipedia wanasema alichangia ukuaji wa kisoka wa declan rice.

Madogo wanamisi quality tu, mamamaeee huyu madevu wa nottingham forest ligi itamshinda tena kwa huu mpira anaofundisha.
 

Huyo Nuno esperito santo sio wa masihara ndo timu zake hzo zisizo na presha kwny ligi huta amini kama ndo forest wa kichovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…