Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hizo records mbona unazirudiarudia
 
Inatisha sana.....
 
Zigo la lawama anashishiwa ten hag, Ila hii timu ilishajifia kitambo sana
 
hamis77 anakuambia ten hag alisha kamilisha vigezo vyote vya kufukuzwa
Ila tunaomba aendelee kubaki hapo uwanja wa matofari ya kuchoma

Itakua huzuni Sana humu jf, if ten hag akifukuzwa
View attachment 2841265
Nitalia Sana Sana

Vigezo vya kufukuzwa alishakidhi, Tena wenzie walifukuzwa kwa namba ndogo kulinganisha na yeye
 
Pira papatu papatu waweza kuta top 4 hawa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…