Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nakubali mkuu. Hilo analofanya Rasmus ndio primary majukumu yake. Kufunga ni ziada tu. Uzuri wa Manchester kila mtu anafunga, leo Martial kesho Chidi.
 
Chelsea fans thinking they will play well against UTD because they play well against good teams
UTD is not a good team

Manjesta inacheza like Luton, Burney
 
Chelsea ikiwa na msimu mbaya uwezi kuona watu wakienda kuchangia kule jukwaa lina baki kimya.

Liverpool ikiwa na msimu mbaya uwezi kuona watu wakienda kuchangia kule.

Arsenal imepitia misimu mibaya lakini jukwaa lao lilikosa wachangiaji kabisa.

lakini ni tofauti na man u hata tuwe na misimu mibaya kaisi gani uji kuona jukwaa letu limekosa wachangiaji.

Unajua ni kwanini sababu ili timu yoyote ipate attention lazima ijibishane na man u tu.

pasipo man u ligi ya EPL inaweza kufa pamoja na man u kufanya vibaya toka Ferguson aondoke ili jukwaa alijawai kupoa sababu man u ni nembo ya soka kwa England na dunia nzima.

GGMU
 
Sasa Kama lengo la rasmus kumkaba kipa asianzishe mashambulishi
Si Bora mngemnunua ngolo kante tu, asimaame pale mbele

Nyumbu mnatia mashaka uwezo wenu wa kufikiri
 
Nakubali mkuu. Hilo analofanya Rasmus ndio primary majukumu yake. Kufunga ni ziada tu. Uzuri wa Manchester kila mtu anafunga, leo Martial kesho Chidi.
Umemjibu kinafki au ndio akili yako kabisa?
 
Gary Neville on Manchester United: "I'm bored. I've become tired of my own club. I don't want to do their games anymore. I don't want to watch their games anymore. That is the saddest enditement that you can have of your football club."


Hahahaha
 
Embarrassing, embarrassing group of players.


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
Mourinho opened the door for Martial to leave when he wanted out in summer 2018 and had high resale value. Anthony Martial will not be sold this summer as Joel Glazer sees him as the club’s ‘Pele’.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
Mourinho will always be ahead of time
 
Acha uongo Ally Pipi ,Arsenal hata tukisare mnakuja Kama mafuriko


Kwa Chelsea na Liverpool nakubali kabisa wanaishi kwa amani Sana ,hata wakiwa ovyo

Angalau Chelsea kidogo wanashtuliwa

Arsenal na manjesta huwa hapakaliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…