1st half Man of the Match, MAGUIRE hili jamaa linakaba bana.
Wan Bissaka mbovu sana leo. Toa Bissaka weka beki mtulivu mwenye akili kunwa LINDELOF.
Toa Masho weka Hujlund toa Rashford weka Anthony. Kushoto Garnacho kulia Anthony hapa tutawapiga counter attack za hatari.