Nini maana ya mchambuzi?? Tuanzie hapoFor the first time,Mentor na mchambuzi mwenzangu George Ambangile ameshindwa kuichambua timu yake pendwa
Niliwahi kumwambia 7hag Ni average coach,alinibishia Sana ,now amebaki kuniona Mimi mchawi
Anasema
Anayeweza kuichambua Man United afanye hivyo tafadhali daah
*Kiukweli mm hata sioni tunatumia muundo gani ? Staili gani ya uchezaji ? Bila mpira tunatumia muundo upi kuzuia ? Labda sioni mimi peke yangu ndugu zangu naomba leo mnipe darasa hilo *
Tunashinda lakini ??: Sawa hata Mungu alisema tushukuru kwa kila jambo
Ndio umpeleke Baba ako akafundishe uone mpira mzuriOperation kataa
pira magimbi
Pira makande
Pira butua butua
Pira janjajanja
Sir Jim atamuajili Juma Mgunda mzee wa boli litembeeNdio umpeleke Baba ako akafundishe uone mpira mzuri
Wa kwanza uwe wewe muda wote unawaza timu ya wanaume Mmama wewe
Unajua maana ya UCL au kombe la ulaya
With all respect mchambuzi mwenye beji ya FIFA tunakuhitaji mara moja jukwaa la Chelsea.Wachambuzi nguli kwa mujibu wa syllabus ya FIFA tunapochambua timu ,tunaanzia kwenye Buildup tunakuja phase 2 na phase 3
Lakini Wachambuzi nguli wanadai kuichambua manjesta ya 7hag imekuwa kazi ngumu Bora kubeba Zege ,
Haijulikani inacheza muundo gani Wala stail gani
Pep aliulizwa anaionaje manjesta, akaishia kuangua kicheko maana haichambuliki
Against promoted teams inacheza butua butua
Swali tunalojiuliza Wachambuzi nguli duniani,
Je against top 6 , manjesta itaokota hata point 1?
Je against kina Astonvilla, Westham,Fulham , Brighton ,itaokota points hata 1?
Huyu 7hag mliona Nini mpaka akapata kazi hapo manjesta?
Sir Jim inasemekana amaechoka na pira makande ,anataka akipewa timu amlete Graham Potter
Niliwahi kusema humu
Graham Potter
Ole Gunar
Frank lampard
David Moyes
Zuberi katwila
Malale hamsini
Juma Mgunda
Wana uwezo mkubwa kuliko Erik 7hag
Nakuja mkuuWith all respect mchambuzi mwenye beji ya FIFA tunakuhitaji mara moja jukwaa la Chelsea.
Mwaka huu mkimaliza ndan ya top 7 , nitaamini uchawi upo ulaya na unafanya kazi
HUWEZI maliza top 7 ikiwa ukikutana na Burney , Sheffield ,Luton, una struggle ku control mechi
It's means against Astonvilla, Newcastle, Brighton, Westham , palace ,hutaweza kupata matokeo
Against top 6 hutaweza kupata matokeo