Cha goat la arsenalMalizia mwenye beji ya FIFA kutoka Zurich Uswis
Alifungwa goli 12 katika mechi tatu tu za mwanzo za LigiDe gea pamoja na ubovu wote wa man utd lakini last season yeye ndo alikuwa kipa mwenye clean sheet nyingi.
Inabidi mtafute kocha akaongee na mashetani mule ndanihata zidane anaweza kuongea nao akishindwa mwingine baasi arudi ole guna.
David de gea kafungwa magoli 100 ndani ya misimu miwili iliopitaAlifungwa goli 12 katika mechi tatu tu za mwanzo za Ligi
Kama kawaida kuna wachambuzi wa mchongo walileta stats kuwa Hรธjlund alicheza mechi 32 akafunga magoli 9 Serie A. ๐Hojlund msimu uliopita kacheza dk 1834 ktk mechi 32 za Serie A. Maana yake hakucheza dk 1046 kutimiza mechi 32 zenye dk 90 mechi nyingi alianzia sub.
Ana 13 G/A ktk mechi 20 (1834 mins) kwa mchezaji wa miaka 20 ni stats nzuri.
Overall 2022/23 ana 24 G/A.
Hii habari sio nzuri kwa hamis77Kama kawaida kuna wachambuzi wa mchongo walileta stats kuwa Hรธjlund alicheza mechi 32 akafunga magoli 9 Serie A. ๐
Sasa hivi Hรธjlund ndiyo UEFA Champions League Top Scorer & 2024 UEFA EURO Qualifying Top Goal-Scorers.
Kama kawaida kuna wachambuzi wa mchongo walileta stats kuwa Hรธjlund alicheza mechi 32 akafunga magoli 9 Serie A.
Sasa hivi Hรธjlund ndiyo UEFA Champions League Top Scorer & 2024 UEFA EURO Qualifying Top Goal-Scorers.