Sare au mnalambwaBarobaro boys Tena leo kikosi Cha bwanyenye glazer tunashuka leo kuonyesha dunia nzima ubora wetu.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha
My prediction
Manchester United 2 vs Crystal palace 1
11:00 jioni
Old Trafford
Tutapiga hawa watoto kweli kweli.
Pigaaaaaa
Uaaaaaaaa
Malizaaaaa
Chinjaaaaaa
GGMUView attachment 2767169