Kama unalilia kuhusu draw ya man utd, then hauoneshi caliber ya kuwa man utd.Draw ya kifala hii baada ya kimpira cha United kutolewa yule jamaa aliyefuata macho yake yalikuwa yamekodolea vimpira, ni kama vile alikuwa anatafata kimpira chenye double digits maana ndiyo timu kubwa zimecheza leo.
Nilivyoona namba 16 nikajua tu tayari hujuma imefanyika. Ila siyo kesi walete hao the Magpies pale OT tuwafundishe adabu tena.
Haha! Tatizo kwenye hizi draw huwa wanatuwekea mazingira magumu kwa kutupa opponents wanaowanufaisha wao kibiashara. Rejea ule msimu Ronaldo yupo United na Messi yupo PSG walitumia kila njia mpaka timu hizo zikapangiwa kucheza, ikabidi draw irudiwe.Kama unalilia kuhusu draw ya man utd, then hauoneshi caliber ya kuwa man utd.
Yani new castle ndio team ya kukutoa jasho, wakati hii ni kazi ya kocha kuwa exposed kama kweli anaweza kuvumilia mikiki mikiki.
Hii pia inatuambia kwamba kama ten hag ana progress au ni mzinguaji kama anavyoanza kuonesha.
Nimefurahia draw kwa kweli. Tumsubirie kipara ngoto
Vp kwa wewe binafs unaonaje mwenendo wa ten hag?Haha! Tatizo kwenye hizi draw huwa wanatuwekea mazingira magumu kwa kutupa opponents wanaowanufaisha wao kibiashara. Rejea ule msimu Ronaldo yupo United na Messi yupo PSG walitumia kila njia mpaka timu hizo zikapangiwa kucheza, ikabidi draw irudiwe.
Hata leo walitaka kutupa timu kubwa: Liverpool / Arsenal na kama Man City angeshinda maana yake wangekuwa no. 16 wangelazimisha ilimradi ichezwe Manchester Derby.
Ila siyo mbaya maana tutakuwa OT.
Kocha amejitahidi sana mpaka sasa. Kikosi alichokikuta kilikuwa na hali mbaya. Japokuwa bado tupo mbali sana na kuwa timu bora ila angalau tunapata matokeo.Vp kwa wewe binafs unaonaje mwenendo wa ten hag?
Anatakiwa abadiridishe tactics na formationKocha amejitahidi sana mpaka sasa. Kikosi alichokikuta kilikuwa na hali mbaya. Japokuwa bado tupo mbali sana na kuwa timu bora ila angalau tunapata matokeo.
I second youAnatakiwa abadiridishe tactics na formation
Yani tunacheza kama hatujui tunachofanya.
Usajili wake ni mmbovu. Yani usajili wa mount ulikuwa ni moja ya kitu kibovu sana. Mount na bruno wote wanaenda mbele kwa hio ana control midfield kwa kuweka watu wawili au watatu dhidi ya casemiro.
Tottenham wana holding wawili hii inapelekea maddison kujitawala nyuma ya 9 na mbele ya 6, kushoto na kulia.
Huyu antony na sancho waakirudi watafutie team sio man u tena.
Midfield pale anatakiwa akae case na amra ila tucontrol temple ya mchezo.
Analazimisha kumuanzisha bruno kwenye wing ili tu amuweke mpenzi wake mount.
Bila kubadirisha haya tutaendelea kuwa kaliba ya everton.
siku hizi United kuna timu tunaogopa kukutana nazo ?Draw ya kifala hii baada ya kimpira cha United kutolewa yule jamaa aliyefuata macho yake yalikuwa yamekodolea vimpira, ni kama vile alikuwa anatafata kimpira chenye double digits maana ndiyo timu kubwa zimecheza leo.
Nilivyoona namba 16 nikajua tu tayari hujuma imefanyika. Ila siyo kesi walete hao the Magpies pale OT tuwafundishe adabu tena.
Hakika nawaambia midfield ya case, mount na bruno haitatupeleka kokote.
Basi hivi ndivyo tunapaswa ku - lineup
3-4-2-1
Onana
Licha Varane Shaw
Garnacho amrabat casemiro Rashford
Bruno Mount
Rasmus
4-4-2
Onana
Bissaka Varane Licha Shaw
Casemiro
Bruno. Amrabat
Mount
Rasmus Rashford