Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Evans update version ya magwaya?
Mbona ana haribu mipango

So far Burnley anapiga mpira mkubwa, wanahitaji push forces ya kumaliza game
 
Epl na VAR zao watakua na ajenda maalumu na United sio bure.
Hawataki mashabiki wa Man Utd tufurahi japo hata kwa sekunde mbili phumbavu zao.
 
Evans update version ya magwaya?
Mbona ana haribu mipango

So far Burnley anapiga mpira mkubwa, wanahitaji push forces ya kumaliza game
Mkuu unaangalia hii mechi lakini tayari una matokeo yako kichwani...
 
Inatosha, hii timu bora ipate ajali ya ndege tuanze upya.

Fedheha, fedheha.
Hivi ni kweli sisi tumekosa carrier,
Sawa tumekosa basi hata kujaribu kukokota mpira mbele tunashindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…