Have mercy on nyumbuSomeone said "Eredivisie All-Stars"
Hizo ndio timu zenye maamuzi ya kiume na inamilikiwa kiumeJezi ya greenwood imevunja record getafe
Hii ndio man u niliyokuwa naijua kwa sajili kama hiziErik ten Hag wants Benfica centre-back António Silva. Ten Hag believes Silva would add quality competition and fits perfectly into his plans.
[BRITmaniaRadio]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2746861
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap dogo akiingia sub na kasi yake ana kuwa hatari sanaShould #mufc make Alejandro Garnacho the main right winger in the Starting XI, ahead of Pellistri?
Kwangu mimi Garnacho atumike kama Super Sub Dogo anawahi kutepeta sana akianzishwa kiasi kwamba anakuwa hana hatari yeyote kwenye mechi, hivyo basi kule mbele kuwe MR+RH+FP.
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2747287
Kwa mpira huu ambao hata pass 10 hamuwez kupiga ?Hili li season nisubri zangu nafasi ya pili EPL na nusu final UCL.
ETH is cooking
Hili li season nisubri zangu nafasi ya pili EPL na nusu final UCL.
ETH is cooking
Chuma hiki hapa
Apewe balon dórChuma hiki hapaView attachment 2747492