Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wapuliza uongo pia wanadai kwa dirishq hili ni mason mount na hojlund ndio wachezaji pekee waliosajiliwa kutokana na uchakataji wa data za scouting wa timu, huku wachezaji wengine wakiwa wamesajiliwa kutokana na mawazo ya mwalimu.
 
-Antony has been suspended due to allegations of domestic violence

-Greenwood was sent on loan because of allegations

- Sancho and ten hag are not in good terms

-Luke shaw is injured

- 11th on the premier league table

- mount is injured

- Amrabat is injured

- Hojlund can't play twice in a week

Inasemekana POGBA alifukia fisi pale uwanja wa matofauli ya kuchoma
watani zangu, malizeni tofauti zenu kabla timu nzima ikajikuta ipo pentagon
 
United inaendelea ilipoishia.

Hakuna kipya.

Wakiambiwa tatizo lenu ni winger na mnayemhitaji ni Sancho basi mashabiki wao dunia nzima watakua wanatumia hiyo hoja. Siku za hivi karibuni wameambiwa tatizo lao ni kiungo na wanayemhitaji ni Amrabat.

Amrabat wamempata. Kisha timu itaendelea kua average watazuga kisha wataanza kusema mmiliki wetu hafai, mmiliki anakuletea sajili zote unazotamani ziwepo.

Swali kwa mashabiki. Amrabat ataongeza kipi ambacho sasa hivi hakipo? Uwepo wake utasababisha Erik agundue kupaki basi na kusubiri kaunta ni game plan ya hovyo? Hii game plan imechezwa kuanzia anaifunga Arsenal msimu uliopita mpaka msimu huu yeye amekomaa hapo tu.

Kuna shabiki alilalamika goli la Odegaard kwamba linafungwa huku Eriksen anakimbilia kwenye boksi badala ya kumkaba Odegaard. Hii timu haina defense nzuri strategy yao ni swarming mbele ya goli. Wao wanachofanya ni kuhakikisha wote wanajazana kwenye boksi kuhakikisha mpinzani hashuti.

Eriksen alikua anatekeleza maelekezo ya kocha.

Wanakuambia Arsenal haina mpira haiwezekani ipate magoli ya papatu papatu. Arsenal hatupo vizuri, lakini tumeshawafunga tukiwa hovyo zaidi ya hapo with a lot of average players.

Kichekesho kingine ni kapteni wenu 😄😄😄 bro is so average kukabidhiwa kitambaa ila mashabiki hawaoni. Hainspire timu kucheza muda wote analalamika au yupo chini anataka watu wagewe kadi.

Its funny ukiwasikiliza mashabiki wa united
 
Hili la captain wetu, ukimtoa KDB anaefwata ni Bruno. Kama ukibisha hadi rankings za KDB sisi hatuna neno
 
Mashabiki wa man U tufanye kikao cha dharula, tuombe mods wafunge hili jukwaa kwa muda usiojulikana. Tutarudi tim ikiwa sawa.

Huu msimu tunaenda kuwa kichekesho, ile nafasi ya 12 ya Chelsea msimu uliopita tutaitamani.
 
Kweli united taifa kubwa.

Mashabiki wa Arsenal mnaipenda united sana. Mnajua habari zote zinazoihusu united kuliko united tunavyojua habari zenu.
Niulize kuhusu mpira wa ligi ya Uingereza na Ujerumani na kidogo ya Ufaransa. Najaribu kuufuatilia mpira na siyo timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…