Tumepoteza mechi kwa uzembe wa wachezaji wachache tu hasa poor marking ya beki zetu, ila kiufupi kocha hawezi kupewa lawama maana hakukuwa na option ya Erksen nje, leo huyu bwana katugharimu maana alichoka sana, pia wadau leo mtakubaliana na mimi Antony akifanyiwa sub huwa tunapata majanga sana.
Nilichokifurahia ni hatari ya timu yetu waliyopeleka kule mbele baada ya Hodjlund kuingia naamini baada ya international break tutaiona utd ya tofauti kabsa