Mpate kipigo cha hivi 7-0 mara ngapi?No Shaw & Varane in defence against Arsenal on Sunday!
Ninapata shaka kipigo aina hii kitatukumba pale ππ¦π’π«ππππ¬ Tuombee uzima na miujiza ya πππππππ & πππππππππ.
2ββRayo Vallecano 0-1 AtlΓ©tico
16ββRayo Vallecano 0-2 AtlΓ©tico
36ββRayo Vallecano 0-3 AtlΓ©tico
73ββRayo Vallecano 0-4 AtlΓ©tico
79ββRayo Vallecano 0-5 AtlΓ©tico
84ββRayo Vallecano 0-6 AtlΓ©tico
86ββRayo Vallecano 0-7 AtlΓ©tico
Sheesh
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨
#πππππ ππ ππ¨π¨ππ’ππ£πΌπ©πππ£ππ©π
#ππ‘ππ―ππ§πππ
#ππππ
man utd |
Calm down man, it's ass-no, a glorified WiganNo Shaw & Varane in defence against Arsenal on Sunday!
Ninapata shaka kipigo aina hii kitatukumba pale ππ¦π’π«ππππ¬ Tuombee uzima na miujiza ya πππππππ & πππππππππ.
2ββRayo Vallecano 0-1 AtlΓ©tico
16ββRayo Vallecano 0-2 AtlΓ©tico
36ββRayo Vallecano 0-3 AtlΓ©tico
73ββRayo Vallecano 0-4 AtlΓ©tico
79ββRayo Vallecano 0-5 AtlΓ©tico
84ββRayo Vallecano 0-6 AtlΓ©tico
86ββRayo Vallecano 0-7 AtlΓ©tico
Sheesh
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨
#πππππ ππ ππ¨π¨ππ’ππ£πΌπ©πππ£ππ©π
#ππ‘ππ―ππ§πππ
#ππππ
man utd |
Football is all about trophies, hakuna medali kwa ku create chances, Bruno Fernandes will go down as the most jinxed player of all time.Since Bruno Fernandes made his debut in the Premier League in February 2020, he has created:
πͺ Most big chances in the Premier League (74)
Most chances in the Premier League (277)
Most chances in all competitions (343).
One of the worldβs very best. π«‘
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨
#πππππ ππ ππ¨π¨ππ’ππ£πΌπ©πππ£ππ©π
#ππ‘ππ―ππ§πππ
#ππππ
man utd |
Katika miaka yote ya soka Talent ID imeanza kujulikana baada ya Ten Hag kutua Man United na kuna makocha wengi wa mchongo watoa maboko sijawahi kusikia hiyo kitu na imezaliwa 2022 kisa Man United.Erik 7 Egg amewaletea hii mutu kwa β¬100m
Usajili huu ulinifanya niamini Erik 7 Egg ni tapeli Kama matapeli wengine
Now most of fans wanasema 7 Egg Hana Talent ID
Masebene tumepigwa
Hana playing style
Mambo haya niliyasema miezi 8 iliyopita
Siku zote naamini katika kile ninachokiamini sio kile wanachokiamini wengiView attachment 2733225
Katika miaka yote ya soka Talent ID imeanza kujulikana baada ya Ten Hag kutua Man United na kuna makocha wengi wa mchongo watoa maboko sijawahi kusikia hiyo kitu na imezaliwa 2022 kisa Man United.
Wanaobweka kuhusu huo uchafu wa kuitwa talent ID ni wafuata mkumbo kama wewe na wengi nawachukulia kama mashoga tu
Nyumbu Kama nyumbu
Yukowapi samsha Ford?
Yukowapi buruno?
Got respect for gunnersView attachment 2733126
Nyumbu bhana kwa ku-edit
Nyumbu bhana kwa ku-edit
Haya tuambie hii mmetoa wapi?
Mbona mkali unakuwaga na Michango mizuri sana ya Soka ila kwa ETH unakuwa kama unaendeshwa na Hisia zaidi! Kuna wakati huwa unasema De Zerbi asipewe timu kubwa sababu atatisha sana na Maneno mengine ya aina Hiyo. Ni Mwalimu Mzuri ila Unadhani kwa nini Timu kubwa Nyingi Italy wakati anaondoka Sassuolo hazikuwa na muda naye na nyingi kati yao hazikuwa na walimu wa uhakika?Siku zote naamini katika kile ninachokiamini sio kile wanachokiamini wengi