Magwaya Anasema mmekubalina na Westham ,lakini yeye anataka £10m ya loyality ya kuitumikia man u ndio aende huko mlikomuuza
Harry Maguire is yet to agree personal terms with West Ham - that may require a £10m payoff from Man Utd, reports the Mail.
Kifupi dili la magwaya bado complicated
Chezaji la Ballon d'orBREAKING: Anthony Martial has resumed full training for #mufc after recovering from an injury that prevented him from participating in pre-season.
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2712892
Capitano hana shida ya kuondoka kabisa, anavuta £190,000 yake per week. Kwa mkataba wake miaka miwili iliyobaki, ni kama £18mil hapo.Huyu tutamuuza tu, yaani hatake asitake he must go now
Achana na hizi Ndoto za mchanaNATABIRI MAN UNITED BINGWA 2023/2024. ubingwa hauna 100% forecasting remember LEICESTER CITY 2016 na ARSENAL msimu uliopita hakuna alietengemea watafany vzr km walivofanya, thus why naomba mheshimu mawazo yangu.
Tukikosa basi bingwa ni chelsea, naamini coz msimu huu forward zetu zitaimarika na kutushagaza.
1. Martial, msimu huu anatulipa fadhila na kutubu dhambi alizotufanyia since 2015. ana dribbling nzur, speed , mzr 1 vs 1, na anarud kweny pick na ataongeza thaman kuelekea ubingwa wetu msimu huu, huyu yupo umri wa kujitambua na high performance. Atawashagaza.
2. rashford, kama kawaida ashakuw matured hatashuka kiwango na atatupa point muhimu.
3.garnacho, ni km usajili mpya flan ivi. huyu yupo serious na kazi, ana speed, ana cross nzur, anajua kugunga. Hii inaashiria option nying kweny forward line yetu na inaleta impacts.
4. hojlund, no more explanation, no kitu tulikosa msimu uliopita, Huyu ataongeza consistency ya ushindi ambayo msimu uliopita tuliikosa sababu ya kumiss baadhi ya golden chance na lack ya proper positioning ya striker wetu ( woughost).
5. Greenwood, bdo hayuko fit lkn ni added value na atasaidia kutupa consistency ya ushindi season hii.
Midfielder, tumeongeza value.
Backline kuna improvement nzuri kuanzia GK.
SHORTLY, naamini tutakuwa bingwa msimu huu
Loyalty ya magwaya ni kubwa Sana kwa nyumbu hiiMagwaya Anasema mmekubalina na Westham ,lakini yeye anataka £10m ya loyality ya kuitumikia man u ndio aende huko mlikomuuza
Harry Maguire is yet to agree personal terms with West Ham - that may require a £10m payoff from Man Utd, reports the Mail.
Kifupi dili la magwaya bado complicated
Pass me that weedNATABIRI MAN UNITED BINGWA 2023/2024. ubingwa hauna 100% forecasting remember LEICESTER CITY 2016 na ARSENAL msimu uliopita hakuna alietengemea watafany vzr km walivofanya, thus why naomba mheshimu mawazo yangu.
Tukikosa basi bingwa ni chelsea, naamini coz msimu huu forward zetu zitaimarika na kutushagaza.
1. Martial, msimu huu anatulipa fadhila na kutubu dhambi alizotufanyia since 2015. ana dribbling nzur, speed , mzr 1 vs 1, na anarud kweny pick na ataongeza thaman kuelekea ubingwa wetu msimu huu, huyu yupo umri wa kujitambua na high performance. Atawashagaza.
2. rashford, kama kawaida ashakuw matured hatashuka kiwango na atatupa point muhimu.
3.garnacho, ni km usajili mpya flan ivi. huyu yupo serious na kazi, ana speed, ana cross nzur, anajua kugunga. Hii inaashiria option nying kweny forward line yetu na inaleta impacts.
4. hojlund, no more explanation, no kitu tulikosa msimu uliopita, Huyu ataongeza consistency ya ushindi ambayo msimu uliopita tuliikosa sababu ya kumiss baadhi ya golden chance na lack ya proper positioning ya striker wetu ( woughost).
5. Greenwood, bdo hayuko fit lkn ni added value na atasaidia kutupa consistency ya ushindi season hii.
Midfielder, tumeongeza value.
Backline kuna improvement nzuri kuanzia GK.
SHORTLY, naamini tutakuwa bingwa msimu huu
Pavard na record yake za majerui zilivyokua vizuri na hii epl ya nginjanginja
Nafuu ya beki wa Leverkusen hapa tunachukua akina Varane wengine
Wote hao wachezaji wa kawaida {Kwa Level ya kutafuta Makombe} but ni wazuri kwa Depth na Kuongeza Ubora ukilinganisha na walokuwepo. {Ishu ya Majeraha wote hao wana Rekodi hovyo Ndo mana chaguo la Kwanza la ETH alikuwa Disasi, jamaa kakosaga game 2 tu na alikuwa na Covid, Chelsea wamepata Mtu ingawa Unazi unafanya wengi waache zungumza uhalisia!Tapsoba lile Jamaa linajua ,naomba msimpate muhangaike na huyu Pavard
George Ambangile mtupu uchambuzi wa kizungu.Wote hao wachezaji wa kawaida {Kwa Level ya kutafuta Makombe} but ni wazuri kwa Depth na Kuongeza Ubora ukilinganisha na walokuwepo. {Ishu ya Majeraha wote hao wana Rekodi hovyo Ndo mana chaguo la Kwanza la ETH alikuwa Disasi, jamaa kakosaga game 2 tu na alikuwa na Covid, Chelsea wamepata Mtu ingawa Unazi unafanya wengi waache zungumza uhalisia!
Kwa sasa hivi EPL hamna RCB wa kufikia Ubora wa Saliba {Dias anafichwa na Ubora wa kikosi kizima cha City, Mara kibao tunaona anavyokuwa Exposed National Team, Nasema Hayo but haiondoi reality kwamba ni bora but kwa Comparison hamna kama Saliba kwa sasa, Dias hana mda Mrefu National Team ananyang'anywa namba na Antonio Silva, na kuna Dogo anakuja Juu haswa Tomas Araujo,
UTD Kumpata Saliba wake ndo kipengele, FFP Inamzuia mambo Mengi na huku nimeona michango kadhaa wanazungumzia utoaji wa fedha toka kwa Glazer kitu ambacho sio kweli. Majina ya Maana sokoni kwa UTD kwa sasa ni Mawili Ousmane Diomande na Antonio Silva, hawa ndo Next Generation ya Exciting CB's ingawa yako majina Mengi ila hao Progress yao iko mbali sana na Ni Expensive sana kwa dirisha Hili
So kwa hayo majina hapo kwa ranks, PAVARD ndo chaguo namba 1 ukiwa unasubiri Dirisha Lingine unakamilisha Missing Puzzle yako {Hizi ndo sajili kama za kina Manuel Akanji kwanza huyu jamaa Experienced, Versatility, na hana Uswahili, Wachezaji wengi Blacks kuna kasumba ya Tabia {Kujisahau na Umajinuni} then Tapsoba na Todibo wa mwisho mana Todibo Defending yake ni ya Kuattack Mpira ila Elites Defending kama Thiago Silva na Saliba or VVD original wanakuzuia Space, wanakulazimisha kwenda kwenye Angle ambayo huwi na madhara, EPL Ufate mpira winga akuruke ukigeuka unatoa Mpira wavuni {Wildcard yangu kama hao wanashindikana ni ZENO DEBAST Dogo ana balaa.
LASTLY: Naamini kabisa kama LICHA Angechukuliwa na Arteta last Season ukuta wake na Willy Saliba ungebadilisha History, Gabriel anabebwa na jamaa na Drop ya Quality baada ya kuumia ilikuwa ni DAR-KIGOMA.
Pavard msimu uliopita kakosa game moja pekee ya bundesliga,...Pavard na record yake za majerui zilivyokua vizuri na hii epl ya nginjanginja
Nitafurahi Sana akitua unyumbuni
Nilipoona expectations zako hizo kwa Martial na Rashford sikutaka kumalizia kusoma hii ni sawa na MemeNATABIRI MAN UNITED BINGWA 2023/2024. ubingwa hauna 100% forecasting remember LEICESTER CITY 2016 na ARSENAL msimu uliopita hakuna alietengemea watafany vzr km walivofanya, thus why naomba mheshimu mawazo yangu.
Tukikosa basi bingwa ni chelsea, naamini coz msimu huu forward zetu zitaimarika na kutushagaza.
1. Martial, msimu huu anatulipa fadhila na kutubu dhambi alizotufanyia since 2015. ana dribbling nzur, speed , mzr 1 vs 1, na anarud kweny pick na ataongeza thaman kuelekea ubingwa wetu msimu huu, huyu yupo umri wa kujitambua na high performance. Atawashagaza.
2. rashford, kama kawaida ashakuw matured hatashuka kiwango na atatupa point muhimu.
3.garnacho, ni km usajili mpya flan ivi. huyu yupo serious na kazi, ana speed, ana cross nzur, anajua kugunga. Hii inaashiria option nying kweny forward line yetu na inaleta impacts.
4. hojlund, no more explanation, no kitu tulikosa msimu uliopita, Huyu ataongeza consistency ya ushindi ambayo msimu uliopita tuliikosa sababu ya kumiss baadhi ya golden chance na lack ya proper positioning ya striker wetu ( woughost).
5. Greenwood, bdo hayuko fit lkn ni added value na atasaidia kutupa consistency ya ushindi season hii.
Midfielder, tumeongeza value.
Backline kuna improvement nzuri kuanzia GK.
SHORTLY, naamini tutakuwa bingwa msimu huu
Mifumo inawabeba sana wachezaji, Arsenal walimtaka Licha akacheze Beki wa pembeni sidhani kama angecheza vizuri kama kwetu, pia Sisi Casemiro anafanya mabeki wetu wengi waonekane wazuri sana. Bila Casemiro tunatupiwa Goli za kutosha tu, pia UTD tuna wachezaji warefu sana, UTD ni timu ya pili kuwa na Wachezaji warefu baada ya Everton inasaidia kucheza na Beki mfupi compare na timu kama Arsenal.Wote hao wachezaji wa kawaida {Kwa Level ya kutafuta Makombe} but ni wazuri kwa Depth na Kuongeza Ubora ukilinganisha na walokuwepo. {Ishu ya Majeraha wote hao wana Rekodi hovyo Ndo mana chaguo la Kwanza la ETH alikuwa Disasi, jamaa kakosaga game 2 tu na alikuwa na Covid, Chelsea wamepata Mtu ingawa Unazi unafanya wengi waache zungumza uhalisia!
Kwa sasa hivi EPL hamna RCB wa kufikia Ubora wa Saliba {Dias anafichwa na Ubora wa kikosi kizima cha City, Mara kibao tunaona anavyokuwa Exposed National Team, Nasema Hayo but haiondoi reality kwamba ni bora but kwa Comparison hamna kama Saliba kwa sasa, Dias hana mda Mrefu National Team ananyang'anywa namba na Antonio Silva, na kuna Dogo anakuja Juu haswa Tomas Araujo,
UTD Kumpata Saliba wake ndo kipengele, FFP Inamzuia mambo Mengi na huku nimeona michango kadhaa wanazungumzia utoaji wa fedha toka kwa Glazer kitu ambacho sio kweli. Majina ya Maana sokoni kwa UTD kwa sasa ni Mawili Ousmane Diomande na Antonio Silva, hawa ndo Next Generation ya Exciting CB's ingawa yako majina Mengi ila hao Progress yao iko mbali sana na Ni Expensive sana kwa dirisha Hili
So kwa hayo majina hapo kwa ranks, PAVARD ndo chaguo namba 1 ukiwa unasubiri Dirisha Lingine unakamilisha Missing Puzzle yako {Hizi ndo sajili kama za kina Manuel Akanji kwanza huyu jamaa Experienced, Versatility, na hana Uswahili, Wachezaji wengi Blacks kuna kasumba ya Tabia {Kujisahau na Umajinuni} then Tapsoba na Todibo wa mwisho mana Todibo Defending yake ni ya Kuattack Mpira ila Elites Defending kama Thiago Silva na Saliba or VVD original wanakuzuia Space, wanakulazimisha kwenda kwenye Angle ambayo huwi na madhara, EPL Ufate mpira winga akuruke ukigeuka unatoa Mpira wavuni {Wildcard yangu kama hao wanashindikana ni ZENO DEBAST Dogo ana balaa.
LASTLY: Naamini kabisa kama LICHA Angechukuliwa na Arteta last Season ukuta wake na Willy Saliba ungebadilisha History, Gabriel anabebwa na jamaa na Drop ya Quality baada ya kuumia ilikuwa ni DAR-KIGOMA.
Alitakiwa awepo hapo kitambo ila kisa mapenzi yake kwa United alikataagaKijiwe nongwa mmesema De Gea hatimaye anaweza kwenda kucheza kwenye club kubwa Duniani. #LosBlancos
😅😅😅 sometime tunajipa hope, hata km hatuoni dalili broNilipoona expectations zako hizo kwa Martial na Rashford sikutaka kumalizia kusoma hii ni sawa na Meme
Tupe takwimu zake za majeraha mkuuPavard na record yake za majerui zilivyokua vizuri na hii epl ya nginjanginja
Nitafurahi Sana akitua unyumbuni
KItakwimu Paverd kamuacha mbali TapsobaTapsoba lile Jamaa linajua ,naomba msimpate muhangaike na huyu Pavard , Tena nimeona mazungumzo yapo pazuri
Huyu Pavard na mwenzie Harnandez walikuwa hawapatikana Sana baryen sababu ya injury