Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nasikia mmepigwa za uso kwa Rasmus
Flano atakuja atabisha ,

Geoff Lea shabiki Lia Lia wa manjesta Jana kaongelea Utapeli wa Anthony ,Malacia na kushindwa kupewa nafasi madogo wengine

Huwa nikiongea Mimi wanasema na chuki ,n.k

Mimi nasema hata Mactominay akipata mwalimu mzuri ni hatari Sana ,ila atauzwa aletwe Amrabat sababu wanajuana na kocha
 
Man Utd Rasmus Hojlund signs up with same agent as Erik ten Hag as key.

Utapeli hautakuja kuisha Duniani
 
😭 Huu uzi ni wa 2007 Kwan 2007 bongo mambo ya internet yalikuwa yapo tayar?
 
Sasa huyo Leah ni nani pale United?

Ana mtazamo wake kama shabiki abaki nao hata humu pia tunao wa namna hiyo

Namchukuliaga kama mpuuzi mmoja kitambo hata kabla ya hiliView attachment 2712495
 
Nawashangaaa haters, mara Rasmus tumepigwa hana uwezo mara kaumia hamtoboi🀣 Niseme ukweli Rasmus ni bonge la mchezaji kwa ajili ya sasa na baadaye na mimi nilimtabiria atakuja Man u kabla ya dirisha halijafunguliwa. United ilipoishia msimu jana haikuondokewa ma mchezaji yeyote zaidi ya kipa. Kumpata Onana na Mount kutaiongezea kitu kikubwa sana United kuwa bora zaidi ya msimu jana. Watu wanasema sijui Mainoo kaumia sijui Scott akiondoka sijui nini, jiulize Mainoo na Scott walicheza mechi ngapi msimu jana na mchango wao ni upi. Stress siyo injury, kinachofanywa kwa Rasmus ni kumlinda asijekupata injury mbaya kama ya Rashford. Rasmus anakuja kupambania namba si kujichukulia tu, bado Rashford na Martial wanaomtukana wasiojua mpira ni wachezaji wa kuogopwa.
N.B: Kama wewe ni shabiki wa Liverpool, Arsenal, Chelsea tuwekee takwimu za CF wako msimu jana tulinganishe na Martial tunayeambizana ni mbaya sana
 
Sema nn nilikuwa nimeanza kupata matumaini kuhusu kusolve tatizo la namba 9 maana tuna ukame wa mabao

Sasa viongozi wamefanya sanction ya dili la mtu ambaye ni majeruhi badala ya kulipindua juu kama kwa Van Nistelrooy mwaka 2000.

Nikifikiria kuwa tumsubiri mtu wiki 6 huku Rashford kasharudi kuwa yule utopolo nachoka sana
 
Nakumbuka hii siku mlipigwa na bolton wanderes πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Babu fegi alianza kulalamikia waamuzi. Kuanzia hapa howard webb akaanza kupewa game za man utd zile decisive ili awabebe na kwakweli it worked. Malipo ni hapahapa duniani aisee.
 
Kuanzia Man utd had Bayern munich wote hawana Akili hivi Unatoaje hela nyingi hvyo kununua mchezaji ambae Hajawahi kuvaa medali yyte ya ubingwa Tangu ajiunge kweny klabu yake Tkribani miaka 10+ sasa,

Na kingine Umri umeshaanz kumtupa Mkono, hivi hawamuoni hata Yule Striker wa Juventus Vlahovic ana miaka 23 na anapiga kazi kweli, muda mwngne huw nakaag chin nafkiria kumbe ujinga wa Sajili za Hovyo huw hauishii Africa tu had Ulaya upo.
 
David Moyes has promised Harry Maguire that he will make him the captain if he joins West Ham.

#WestHam_Central
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™


man utd |
 
#mufc have π—”π—šπ—₯π—˜π—˜π—— a Β£30m fee with West Ham for Harry Maguire.

[The Athletic]

#mufc have π—”π—šπ—₯π—˜π—˜π—— a Β£30m fee with West Ham for Harry Maguire. Personal terms not expected to be an issue.


[Laurie Whitwell]
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™


man utd |
 
Manchester United have three options in the list for new centre back


Benjamin Pavard, Jean Clair Todibo and Edmond Tapsoba are being considered as possibile names to replace Maguire.

Talks already took place with Todibo as revealed here; Pavard, keen on the move.

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™


man utd |
 
Benjamin Pavard is keen on a move to #mufc.


[Fabrizio Romano]
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™


man utd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…