Watani zangu wa ulaya mnanisononesha sana.Huyu babu mnampendea nini?au bado mnampa muda?mtampa muda mpaka timu ifike daraja la kwanza?jamani Man U inahitaji kocha wa kufanana nayo!mie nataka mrudi kwenye kiwango ili siku moja tukutane CL nirudishe zile goli za Giggs 1999.Mlinionea sana miaka ya 90's nawatafuta kweli tena mkiwa fit!hebu pona haraka mgonjwa Man U jamani hii sio Man U niijuayo kabisa!timua hili zee!
Wanaumwa ule Ugonjwa wa timu ya kaka mkubwa Chomba...
Pole 1st lady ... Bado hujazoea tu
Ni afadhali Manchester United itolewe mapema tukibahatika kuvuka raund hii tukakumbana na Bayern au Real watatufanyia mauaji ya kutisha.Manchester ilistahili kufungwa kwasababu zifuatazo.
1. Timu imekosa vipaji binafsi,hakuna mchezaji anayeweza kuibeba timu inapozidiwa ni kisema kipaji binafsi namzungumzia mchezaji kama Ronaldo,Messi......Aina ya wachezaji hii inakosekana katika kikosi cha Man.Mchezaji kama Robin body language inaonyesha ameathirika kisaikologia.Timu imekosa malengo,timu haina speed pass.
2. Mfumo wa kulazimisha kupanga washambuliaji wawili Robin na Rooney katika mechi moja umesababisha Man kuwa predictable.Mfumo wa 4 4 2 umeshindwa kufanyakazi hata katika mechi nyingi za EPL sioni sababu zinazomfanya Moyes kulazimisha mfumo huu kwaajili ya kuwafurahisha Robin na Rooney.Timu nyingi zinacheza na mshambuliaji mmoja Man washambuliaji wawili kunasababisha kupwaya kiungo hasa sehemu ya kati kati.
3. Mimi ni mpenzi wa Man lakini sijawahi kumwamini T Cleverly hata siku moja nilipomwona kati list ya wachezaji watakao anza nikajua tumeumia.Ukweli ni kwmba Tom ni mchezaji wa kiwango cha chini sana hastahili hata kukalia bechi la Man ningekuwa na mamlaka angekuwa mchezaji wa kwanza kuuzwa hawazi kupigachenga,hawezi kukaba vizuri,hawezi kufunga......Ni mchezaji ambaye kamwe asingeweza kucheza kama angekuwa Chelsea,Arsenal au Man City lakini Man United anapangwa katika mechi kubwa siajabu hata kidogo tunashikilia nafasi ya sita.
4. Moyes anachelewa kufanya substute mfano mechi ya jana Cleverly alichemka mwanzo mwisho badala ya kumbadili dk za mwanzo aliachwa mpaka timu inafungwa magoli mawili ndio anastuka.Valencia alikuwa mchezaji mzuri sana lakini baada ya kuumia vibaya mpaka leo ameshindwa kurudisha kiwango chake cha zamani cross zake nyingi zinazuiwa mapema kabla hazijatua kwenye box kuna siku nilikuwa naangalia mechi ya Man Valencia alipiga cross 8 kati ya hizo cross 6 hazikufuka kwenye box zilizuiliwa mwanzoni kabla ya kuleta madhara.
mlikuwepo wapi its just a matter of time kabla hamjarudi nafasi yenu next season

waache waseme..wanune..wavimbe..mimi nawee Moyes,wacha waongee ongee ongee ongee ongee ongee..mwaaa!
waache waseme..wanune..wavimbe..mimi nawee Moyes,wacha waongee ongee ongee ongee ongee ongee..mwaaa![/View attachment 141669
....#BeAfraid !
#MosKwito !
ha ha haa!huu ni wakati wa kuomba mechi za kirafiki na Man U ili kupata mijisifa buree!
yaani man u na moyes wananikumbusha enzi za maximo na mapunda hata watu muongee vipi wao hawana habari wameweka masikio pamba na wamefunga ndoa ya kikristo haina kuachana hiyo....
kuna watu hata moyes akosee vipi wao wanaona anahitaji muda na wachezaji wanamuangusha sio yeye,lakini saa nyingine binfsi nikikaa nikiangalia matukio ya moyes kupanga kikosi hovyo na sub mbovu huwa naona kama anafanya makusudi,inaweinawezekanaje kitu amabcho wanasoka,mashabiki na wachezaji wanakiona dunia nzima yeye na benchi lake la ufundi hawakioni.smalling cleverly hawa ni wachezaji wa kuuzwa kwa lazima....,binafsi nataka kocha atakaekuja pale asiwe mscotish wala muingereza maana hawa ndo wanaoua vilabu vya uingereza kwa kupendelea wachezaji wao hata kama wabovu,ukimuacha rodgers wa liverpool wengine hawana mbinu mpya na hawajaribu sana kuchukua wachezaji wa kutoka nje,na wamekazania zaidi mpira wa kiingereza.