Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Gary lazima atatetea. Unafikiri ingekuwa wakati wa Fergie ingekuwa hivi? Halafu inaonekana United hawataki au wanaogopa Rooney atakwenda Chelsea au City. Sikatai uwezo wa Rooney nachocheka ni jinsi anavyowakimbiza puta inapofika wakati wa kuongeza mkataba. Enzi za Fergie hizi zingekuwa hadithi angemsukuma Rooney nje ya England kuliko kupelekeshwa na mchezaji mfano kina Stam, Beckham, Keane. Subiri miaka 3 utaona atarudi na utoto wa kukataa kula dinner mpaka anunuliwe soda.
 

unanipa wakati mgumu sana kuamini kama kweli uanaona manchester hawajafanya poa kumbakisha rooney na kumlipa hizo hela,
 
unanipa wakati mgumu sana kuamini kama kweli uanaona manchester hawajafanya poa kumbakisha rooney na kumlipa hizo hela,

labda sijaeleweka nachosema ni jinsi anavyoonekana ana ubavu zaidi ya timu. Jamaa ni mchezaji mzuri zaidi ya waliopo katika roster ya United kwa sasa. Tusubiri msimu ujao au utakaofuata tuone kama mkataba huu kama ni wa kwenda shule au la. Nina uhakika kama Man utd watakosa UCL miaka miwili mfululizo watu watakuja kusema haikuwa jambo la maana kumlipa pesa zote hizo.
 
DonDonald Chamakh leo anaua gamutu, najua aliposajiliwa Gunner ulikuwa unamuogopa kinoma lol
 

na hatuwezi kukosa ucl miaka miwili mfululizo by the way man u ni timu kubwa so mshahara wa hiyo pound laki tatu hauwapigi chenga na man u inamhitaji rooney so they didnt have option by the way kama umeangalia mechi ya leo utaona mchango wake katika timu,mwisho ni bora kumbakisha yeye kuliko kumuuza alafu kutafuta mbadala wake.,akirudi hiyo baada ya miaka mitatu hawezi akadai kiasi chote hicho cha pesa labda kama atakuwa na kiwango hikihiki cha sasa kikishuka hatakuwa na nguvu hiyo,by the way soka la sasa ndio linavyotaka hivyo.
 
Mata was my man of the match today,he played very well superb perfomance from him in the midfield area,
 

Fergie angekuwepo huenda angemuuza Rooney but kumbuka Rooney alikuwa amebakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake kama angegoma kuongeza mkataba huenda angeondoka free na ingekuwa big loss,kwenye kuongeza mkataba siku hizi kila mchezaji anaangalia pesa túmeiona Iniesta,Pirlo,Suarez,CR7,Kroos wote wametingisha kiberiti ili waongezewe mshahara
 
Jana tumeshinda anti-manchester wote kimya tungefungwa thread ingejaa kwa kutukanwa na kukejeliwa hapa,atleast muapreciate basi tulichofanya jana superb perfomance from manchester,poor haters...
 
Im little bit disapointed kuona kagawa hajapangwa leo,this is not fair at all.... He deserve to play especially this match when mata is out of the field...
 
Dk ya 8 sasa so far man u tumezidiwa gameplan ya kocha imekataa kabisa kuwork out,so far smalling anacheza chini ya kiwango,ngoja tuendelee kuangalia landa timu itaimprove as the match goes on...
 
Mndengereko pale commentator akisema goooooal for Olympiacos usisite kuniita tafadhali.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Last edited by a moderator:
Mndengereko pale commentator akisema goooooal for Olympiacos usisite kuniita tafadhali.

"Nlikuwepo":bolt:

i hope hakutakuwa na goli ila so far pia cleverley na carric wote wanashindwa kupandisha timu mbele,hakuna kiungo wanayekuja dimba la chini kuchukua mpira na kudrive mpk mbele kupeleka pasi kwa strike au kwa wing....
 
Last edited by a moderator:
i hope hakutakuwa na goli ila so far pia cleverley na carric wote wanashindwa kupandisha timu mbele,hakuna kiungo wanayekuja dimba la chini kuchukua mpira na kudrive mpk mbele kupeleka pasi kwa strike au kwa wing....

Lakini nilisikia kuwa shinji leo anaanza kwakuwa mata hachezi UEFA?

"Nlikuwepo":bolt:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…