christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,150
- 5,059
Anavijitabia vya ajabu sana huyu bwana mtu unafungua page ili usome tetesi za usajili na za mmiliki mpya unakutana na comment nyingi za ajabu ajabu za mtu aliyevamia page.Uyo ni wakupotezea tu ana uchungu wa kukosa ubingwa Kwaiyo hapa ndo anaponyesha majeraha yake wewe mtu ameongoza ligi siku 200 anakuja kuachia mwishoni sio lazima apagawe uyo.
Hakuna mchezaji nataman atue pale theatre of dreams tofali za kuchoma kama huyu mwamba...Sitashangaa manjesta wakimsajili VICENT ABOUBAKARI
Jamaa anakera sana.Anavijitabia vya ajabu sana huyu bwana mtu unafungua page ili usome tetesi za usajili na za mmiliki mpya unakutana na comment nyingi za ajabu ajabu za mtu aliyevamia page.
Naona sancho ajigawe mara mbili eehKesho kocha aanze na Casemiro Fred na Fernandes hapo katikati..otherwise tutatawaliwa vibaya sana na tutakufa mapema tu..
======
My Starting XI vs City
======
De Gea
AWB Varane Lindelof Dalot
Fernandes Casemiro Fred
Sancho Rashford Sancho
=β====
Shaw for Dalot kama yupo fit.
Kwanini asiripotiwe (as Spam) apigwe ban sema kana ID nyingi sanaJamaa anakera sana.
Nimerekebisha..nilikusudia kumwandika Garnacho LW..Naona sancho ajigawe mara mbili eeh
Kwa kikosi hiki mmepona Sana 5-0
4-3-3
Dea gea
Bissaka lindelof verane shaw.
Casemiro Fred Erickson.
Sancho Fernandez Sancho
READ MORE: