Hushangai ligi inaanza manjesta mkadai title contender ,kufikia February Pumzi ikakataHuu hapa ndio mpira wa janjajanja uliompa ubingwa Arsenyani ambae mwezi mmoja kabla kumaliza ligi alikua anaongoza kwa points 8 mbele kwenye msimamo wa ligi. View attachment 2643367View attachment 2643368View attachment 2643369
Hata kwake hajaenda kaamka na sisi tenaπTAITO KUNITENDA YUKO HUKU LEO
We jamaa kuwa mature basi, mbona unakuwa kero! Umeanza kushabikia mpira lini? Yaani unavitabia vya kishamba sijui ni mtu wa wapi, pamoja na kwamba humu upo na ID fake na hatukufahamu ila kwa hizi comment zako inaonesha ni mtu mwenye kaushamba na kaulimbukeni fulani hivi, jaribu kubehave mkuu pengine wewe ni baba wa familia na huwa unadai heshima kutoka kwa wanao na mkeo, halafu huku jukwaani umeshindwa kuwa na heshima na ustaarabu kwa wenzako.Anthoy halisi Vs Anthony tunayeaminishwa eti Ni PotentialView attachment 2643412
Uyo ni wakupotezea tu ana uchungu wa kukosa ubingwa Kwaiyo hapa ndo anaponyesha majeraha yake wewe mtu ameongoza ligi siku 200 anakuja kuachia mwishoni sio lazima apagawe uyo.We jamaa kuwa mature basi, mbona unakuwa kero! Umeanza kushabikia mpira lini? Yaani unavitabia vya kishamba sijui ni mtu wa wapi, pamoja na kwamba humu upo na ID fake na hatukufahamu ila kwa hizi comment zako inaonesha ni mtu mwenye kaushamba na kaulimbukeni fulani hivi, jaribu kubehave mkuu pengine wewe ni baba wa familia na huwa unadai heshima kutoka kwa wanao na mkeo, halafu huku jukwaani umeshindwa kuwa heshima na ustaarabu kwa wenzako.