TAITO KUNITENDA YUKO HUKU LEOHivi ukiulizwa mason mount anakuja manjesta je atacheza wapi na kwa mfumo gani ? Je timu itakuwa balance kwenye Attacking na defence?
Au unajipangia tu
Mount casemiro Bruno
Allo!!
Haya mambo yako haya ya "rebuild" cjui "half ya pili ya mpinzani" cjui nini nini ndiyo huwa yanakuponza mpaka unakimbia jukwaa lakoHofu ya wachambuz nguli Kama sisi na kina Roy Keane tunajiuliza maswali haya
1: Mason mount Kama alishindwa kuingia first eleven kwenye timu Dhaifu iliyokuwa shimoni ,je ataisaidia Manjesta?
2: 7 hag hawez kucheza kwa ku dominate na ku control mechi ,je kumleta mount atamtumia wapi au ndio kutafutiana lawama
3: Mount anaonekana Ni profile ya kucheza double 8/10 kwenye mfumo wa 4-3-3 akishambulia half spaces, Je manjesta ya 7 hag ina wachezaji wa hivo? Tukumbuke Degea yupo, dalot kapewa mkataba mpya , Casemiro ambaye sio profile ya Viungo wa 4-3-3 ya double 8/10 yupo
4: Mount kwa £80m Ni muendelezo wa utapeli Kama ule wa Anthonykwa €100m , Sancho €85m ,magwaya €85m ....
Kweli kabisa.Pep anamchukua kovacic ila kwa bei ya madafu kabsa ila sisi tungepigwa hata £ 90+
Madrid wanamnyatia Kai havertz kwa bei elekezi kabsa
Ben10 aachane na wachezaji wa EPL azame chimbo uko bundasliga,Ligue 1,Serie A kuna vyuma vya uhakika haswaa
Nasema uongo ndugu zangu
Nashangaa sana, hii michezaji ya kingereza mingi hainaga impact yoyote uwanjani.Taani Mount kwa €80 kweli?? Walishatuonaga shamba la bibintashangaa sana wakimnunua kwa bei iyo pale Chelsick hakuna mchezaji mwenye thamani iyo kwasasa labda wanataka kurudisha hasara waliopigwa kwa Mudyrk
Huu hapa ndio mpira wa janjajanja uliompa ubingwa Arsenyani ambae mwezi mmoja kabla kumaliza ligi alikua anaongoza kwa points 8 mbele kwenye msimamo wa ligi.Manjesta kwa mpira wenu wa janja janja ule
Kesho mnaweza kupigwa Goli 5 Hadi 7 kwa sufuri